Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Baada ya juma lililopita kuvamia na kupora kwenye maduka ya Mailimoja,leo majambazi wamevamia na kupora maduka ya kwa Mathias. Taarifa zinasema kuwa majambazi yamevamia kwenye maduka yaliyo karibu na barabara ya zamani na kupora fedha na mali nyinginezo. Hakuna aliyeuawa.
Ujambazi Pwani unashika kasi
Ujambazi Pwani unashika kasi