Majambazi yatembeza mapanga;polisi waita gari la kawe kupata msada;mwema una kazi!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,149
Ndugu wapendwa walio karibu na karakata
usiku wa leo vijana wapatao 15 wamepita karibu guesthouse zote na kuchukua kila kitu walivyokuwa navyo huko ndani.huku wakimkakata mapanga mlinzi ambae sasa yuko icu..
Ilikuwa ni masikitiko sana sana pale mmoja wa watu waliobahatika kuruka ukuta na kukimbilia polisi hapo ndipo alipojibiwa atuna gari ya kuja akaita garilapoliisi wa kawe..akika ni masikitiko sana imagine gari ya kawe ije gongolamboto...hao wezi n wajomba zao....,mjomba wangu alikuwa n mmoja wa waliokuwa kwenye guest moja hapo anasema usiku wa manane..waliingia kwenye vyumba vya wakongo na wazungu watatu alipitisha mapanga kama chizi na huku wakidai tunataka madini tupen madini mlioleta kabla ya kuamua kuvuta kila kilichowezekana...including passport zao na tkt zao..

Watanzania jamani tumekuwa wauwaji mpaka leo hii wapendwa na kama mnataka vitu kwa nini mkate watu mapanga hivyo..ka masikitiko makubwa karibu watu wote wamekimbia na kwenda kutafuta nyumba za kulala...akiongea kwa uchungu anasema walipita kila chumba aliposikia makelele alichukua kila kitu na wkenda choon na kujifungua...baada ya hapo akasikia mlango umevunjwa wakagonga choon walipoona akuna mtu wakaondoka ...baada ya muda akasikia makelele ya wezi ndipo alipotoka waulizane nini na kukuta madam u yametapakaa kila sehemu....maskini aliporudi ndan na kukuta hata kitandan kwake walipaka damu wakiwa wanafungua mto aliolalalia

Mungu awape rehema wale wote waliopata kichapo cha kufungua mwaka MUNGU awape na kuwarudishia uhaiii
 
hao walishawaambia mapolice tunaenda kufanya kazi msije. ina maana watawapa pesa
 
we ukitaka kujua jamaa wananguvu we andamana tu!cha moto utakiona,nionavyo au ninavyo amina police wanamawasiliano na wezi
 
Gari na askari wa kwenda kupambana na wahalifu/majambazi hawana,lakini lakwenda kusambaratisha waandamanaji wanaodai stahili zao wanayo!
 
Inasikitisha sana! Eti tuna police! Mwisho wao upo tu! Hakuna kisichokuwa na mwisho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom