Majambazi Yakamatwa Zanzibar!!

Majambazi Yakamatwa Zanzibar!!

Hawa mumeweza nasubiri wanao mwagia viongozi wa dini tindikali! hawa na siraha hawajaogopwa na wamekamatwa
 
Wezi wa kutumia silaha ZANZIBAR daima hutokea Tanganyika na ushahidi kamili kama maelezo yalivyo. Kwa wale ambao hawakuelewa tatizo lao hawajui lugha ya Kiswahili. Hizo ndio faida za muungano.

Washiraz ni wa Tanganyika?wanatokea mkoa gani?
 
Hiyo WA pccb namfaham hiyo kwao shinyanga Ni mlinzi WA mkurugenzi pccb.
 
Wezi wa kutumia silaha ZANZIBAR daima hutokea Tanganyika na ushahidi kamili kama maelezo yalivyo. Kwa wale ambao hawakuelewa tatizo lao hawajui lugha ya Kiswahili. Hizo ndio faida za muungano.
Takwimu zinakataa kwani katika tukio hili 66.33% ulifanywa na wazanzibari na 33.33% watu kutoka bara
 
Zanzibar kuna aina fulani ya umoja ktk kushughulikia mambo ya kijamii. Ndo maana hata imekuwa rahisi kuwakamata watuhumiwa wengine ktk sakata hili.
Watanganyika nasi inabidi tujifunze kwa wenzetu.
Ukiacha hayo, mifumo yetu ya ulinzi na usalama kwa namna fulani inanuka uvundo ktk nyakati hizi. Watu walopewa dhamani ya kulinda usalama wa raia ndo siku hizi majambazi na matapeli wa mjini. Aibu sana
 
siyo aina fulani ya umoja bali ni imani. While the whole world is changing Zanzibaris have kept faith a keen sense of right and wrong.
 
wamwaga tindikali,wachoma makanisa nao wajulikane na wakamatwe kwa kasi hii,hapo tutawaamini polisi wa znz.
 
wamwaga tindikali,wachoma makanisa nao wajulikane na wakamatwe kwa kasi hii,hapo tutawaamini polisi wa znz.

Wanaomwagia watu tindi kali ni ccm na wanaochoma makanisa pia ni ccm. Kikwete alileta ma FBI na ma CIA juu ya masuala haya mawili ili kuwatafuta na kuwakamata watuhumiwa na akaahidi kila kitu kitawekwa hadharani ili kila mtu ajue. Baada ya uchunguzi wa hao makachero wa Obama ilibainika ya kuwa ccm ndio wanaohusika na matukio yote, kwa hiyo Kikwete ahadi alotoa kwa vyombo vya habari iliyayuka kwa vile wahalifu ni maCCM.
 
Back
Top Bottom