Watu wanaosadikika kuwa majambazi wamevamia ofisi za wakala wa uchimbaji visima na ujenzi wa mabwawa- DDCA maeneo ya Ubungo chuo kikuu cha Dar es salaam na kumuua mlinzi na kufanikiwa kuvunja ofisi hizo na kuiba vifaa kadhaa.ITV