Hawa jamaa wamekuja nusu saa baada ya tukio ila kuna mwendesha bodaboda mmoja kakoswa koswa na risasi akiwa anawafukuza kwa nyuma.
Na wewe zurula na pesa nyingi tu ukitaka.polisi wapo kwa ajiri yako.
Kuchukua fedha nyingi bila escort ya polisi ni hatari.
Kuchukua fedha nyingi bila escort ya polisi ni hatari.
Kumtaarifu polisi kuwa unapesa unahitaji ulinzi wake, ni Sawa na kujikabidhi mdomoni mwa Simba.Kuchukua fedha nyingi bila escort ya polisi ni hatari.
Kama polisi anatamani pesa ya mwendesha bodaboda wakati ana mshahara wake, zakwako anaweza zolinda kweli???.Kumtaarifu polisi kuwa unapesa unahitaji ulinzi wake, ni Sawa na kujikabidhi mdomoni mwa Simba.
Bora Jambazi kuliko polisi.
Kumtaarifu polisi kuwa unapesa unahitaji ulinzi wake, ni Sawa na kujikabidhi mdomoni mwa Simba.
Bora Jambazi kuliko polisi.
Ni bora ukutane na vibaka siku hizi kuliko kukutana na defender la polisi wa kova,ni hatari sana hawa viumbe!!
kwenye Pesa usimuamini hata askari hakawii kuuza mchezo
Wananchi hawana imani na jeshi la polisi wao wenyewe wanaweza kuwa wahusika wakubwaKazi ya polisi ni kulinda raia na mali zao,kama tumefikia huku watu hawawaatena polisi ni shida.Changamoto sana kwa Kova na IGP.
Habari za hv punde zikitokea hapa ubungo pembezoni mwa bank ya NBC ni kwamba majambazi wawili wakiwa na usafiri wa pikipiki wamempiga risasi ya mguuni raia mmoja aliyekuwa kabeba mfuko uliokisiwa na fedha.
Risasi hiyo amepigwa baada ya kukaidi kutotaka kutoa huo mfuko aliokuwa amebeba.
Mpaka hv ninapoleta habari hii vijana wengine wa bodaboda wanawafukuzia kwa nyuma hao majambazi huko walipokimbilia.
Nawasilisha.