Majambazi baada ya kazi.

Majambazi baada ya kazi.

ZENITH

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
1,057
Reaction score
973
Baada ya majambazi wawili kuiba pesa benki.JAMBAZI#1;Aisee mzazi,tukae chini tuhesabu mkwanja tuliovuna. JAMBAZI#2;Ee bhana mimi nimechoka siwezi kuzihesabu,tusubiri kesho kwenye vyombo vya habari,watataja kiasi cha pesa iliyoibiwa.
 
Je, kama Meneja wa tawi akiongeza hesabu itakuwaje? hiyo inaletaga ugomnvi hata kwenye bus abiria akiibiwa 50,000, utasikia anatangaza ameibiwa 500,000!
 
Siku iliyofuata meneja wa bank akatangaza kuwa
majambazi wawili wanevunja bank na kuchukua noti bandia zilizo hifadhiwa hapo zikisubiri kuchomwa moto
 
Khaa!hatari kubwa.
 
Siku iliyofuata meneja wa bank akatangaza kuwa
majambazi wawili wanevunja bank na kuchukua noti bandia zilizo hifadhiwa hapo zikisubiri kuchomwa moto
:eyebrows:
................baadae ikatangazwa zile noti hazikuwa bandia.
 
Baada ya majambazi wawili kuiba pesa benki.JAMBAZI#1;Aisee mzazi,tukae chini tuhesabu mkwanja tuliovuna. JAMBAZI#2;Ee bhana mimi nimechoka siwezi kuzihesabu,tusubiri kesho kwenye vyombo vya habari,watataja kiasi cha pesa iliyoibiwa.

hawa majambazi ni mabingwa wa uvivu duniani
 
Hapo washamaliza kazi!!
Kazi iko kwa walioibiwa,polisi na vyombo ya habari,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom