Majambazi 5 wauwawa Kilimanjaro

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Habari wana JF mlioko hapo Moshi.
Taarifa ambazo nimezipta mchana huu ni kuwa majambazi watao 5 wameuwawa na polisi baada ya kuanza kurushiana risasi na polisi. Pia inasadikika kuwa polisi wamewakamata wengine 3 na wanaendelea operaresheni ya kuwakamata wengine.
Kwa mlioko Moshi tunaomba mturushie matangazo ya huko.
Je ni kweli Majambazi ama wamehitilafiana tu na polisi?
 

wewe ndio unakurupuka usikihuu?habari simesha xpaya hizo soma ukrasa wa juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…