wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 554
inasikitisha na inahuzunisha chama ambacho kilikuwa na nguvu kubwa kisiasa zanzibar kususia uchaguzi.
kushawishiwa kugomea uchaguzi na ukawa ni kupoteza fani ya kisiasa.
chama kinachopata wabunge ni muhimili muhimu sana kisiasa kuweza kuikosoa serikali inapokosea kwa wananchi.
nimeamini hivi vyama vya upinzani ni vyama binafsi.
ukisema cuf ni maalim seifu ukitaja chadema ni mbowe na mkwe wake mtei ukitaja ACTwazalendo ni zuberi zito.
kiujumla wamekuwa wabinafsi zaidi kuliko kisiasa