Bado natafuta
Senior Member
- Oct 3, 2021
- 144
- 151
Okay, hivi ajira yake ipoje ameajiriwa Ile siku aliposema waziri mkuu kwenye msiba wa wale walipoteza maisha ama baada ya kuhitimu mafunzo?Niliona taarifa ya kumaliza mafunzo yake ameajiriwa kitengo cha jeshi la uokozi baharini. Habari nakumbuka ilikuwa inaeleza hivo
Mkuu nataka nipate uelewa tu wa kitu furani!!Mnamtafuta mumfanyie unaa [emoji23][emoji23]
NAHITAJI kujua Tu mkuuMambo yake muachieni mwenyewe...
Amepangiwa lini ajiraAlishamaliza mafunzo. Ajira lazima amepewa
Mimi sijaiona mkuu hebu tujuze kwa lugha fasaha boss.Ukitizama ile picha yake akiwa bungeni unapata majibu yote. Alikua anajiuliza nafanya nini mimi majaliwa mbona najichanganya hivi
Tafuta interview ya Majaliwa na Millard Ayo utapata jibu lakoHabari wakuu kama inavyosema title hapo juu. Ikumbukwe mwaka Jana ilitokea ajali ya ndege kule bukoba na hata hivyo alipatikana kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la majaliwa ambaye amejizolea umaalufu kwa ujasiri alioonesha kwa kuokoa maisha ya watu.
Je, majaliwa amepata ajira? Amepata ajira lini? Na ameajiriwa wapi?, Ni kitengo gani?
Sijui. Ila mafunzo tayari na walimuonyesha kwenye habariAmepangiwa lini ajira
Ndio ile siku aliyotamka waziri mkuu,tena baada ya pale akawa amepatiwa mtu wa ulinzi wa kumlinda yeye kama yeyeOkay, hivi ajira yake ipoje ameajiriwa Ile siku aliposema waziri mkuu kwenye msiba wa wale walipoteza maisha ama baada ya kuhitimu mafunzo?
Unamuonea wivu ama shida yako ni nini exactly?Okay, hivi ajira yake ipoje ameajiriwa Ile siku aliposema waziri mkuu kwenye msiba wa wale walipoteza maisha ama baada ya kuhitimu mafunzo?
Kamati hii ni muhimu, inanyoodha mambo penye mushkeli.Kamati ya roho mmbaya inaingia kazini