Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,680
- 218,189
Ifahamike kwamba hatuna shida yoyote na huyu kijana, maana sasa ni dhahiri kwamba alitumika ili kuwezesha mipango ya watu wengine.
Lakini baada ya jamii kustukia mchezo duni uliochezwa, bado mnataka tunyamaze? Na ni kwanini tunyamaze? Ikiwa kama Waziri husika anasema baada ya uchunguzi kwamba dogo huyo hakufungua mlango wala nini, mnadhani sisi raia tuliyokuwa nchi kavu tunawezaje kubisha? Je, waliotudanganya akiwemo Majaliwa na Chalamila walitaka kuficha jambo gani na kwanini?
Sasa nasema kama mmbwai na iwe mmbwai tu, huyu dogo arudishwe kuanika dagaa na arejeshe hela za watu waliomchangia kama shukrani kwa ambayo hakuyafanya, walooshirikiana naye kutudanganya watimuliwe haraka sana.
Hatuwezi kuishi kwa uongo miaka yote!