Tetesi: Majaliwa anapigwa chini kiujanja

nchonga aliyebaki

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
588
Reaction score
1,050
Jamaa hatujamuona kabisa kwenye mapicha picha ya uchukuaji fomu.

Kwa ratiba zake ilitakiwa achukue FOMU jana ila watasha wamemuweka pini hakuna kuchukua FOMU. Kawekwa kizuizini, yeye anautaka ila MFUMO HAUTAKI.

Leo ndio siku ya mwisho kuchukua na kurejesha FOMU. Labda itokee miujiza wamuachie akachukue. Ila MFUMO HAUMTAKI.

Tunapoimba REFORMS huu ni wimbo unaotakiwa kuimbwa na watanzania wote hadi maCCM. Tena haya ndio yanapitia kipindi kigumu sana. Kuna udikteka mwingi unaendelea kwenye chama chao.

Hii ndio akili inataka ila Mwili hautaki. Wamempiga CHENGA mwili

Akashi huo huo hata SAMIA analiwa timing kutolewa kabla ya mwezi wa nane
 
Ila mkuu, hao kina Majaliwa sidhani kama watataka Reforms, maana kwenye katiba mpya kuna pendekezo la ukomo wa mtu kugombea ubunge kuwa vipindi viwili tu. Wakongwe wengi hawawezi kukubaliana na hilo.
 
Ujinga mtupu

Unataka uone post ndio useme anaungwa mkono?

Vijana mmekua wepesi mno vichwani

Mnakula nini aiku hizi?
 
Apumzike ziingie damu changq
Kwani ubunge lazima awe yeye
 
Atachukuliwa na wazee.. Hii nchi imejaa watu wajinga sana, PM angejikita kusimama na wananchi nadhani angejieweka kwenye nafasi nzuri mno.

Enewei nasikia Jimbo lake hakuna aliyechukua mpaka sasa
Kwahiyo aache kusimama kutimiza ndoto zake na familia yake,asimame na wewe, PM siyo mjinga kihivyo.

Hata Lissu hapambanii wananchi kama hujui,anapambana kutimiza ndoto zake tu
 
Mnaleta story nyingi hazieleweki,huwa mnazipata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…