Majalala yanabeba vingi

Mkuu kuna Watu wamepotelewa na Ndugu yao yapata mwezi sasa, je naweza kuwaelekeza Kwako ili wapate ushirikiano?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Akipita mwendawazimu atashangaa na kusema "hawa watu matajiri kweli yaani wametupa mguu mzima kabisa "
 
Akipita mwendawazimu atashangaa na kusema "hawa watu matajiri kweli yaani wametupa mguu mzima kabisa "
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] umenikumbusha chizi aliyepita jalalani na kumkuta mlevi kalala uchi jalalani makalio yakiangalia mbinguni
 
Hii si ilitokea mwaka jana Tegeta/Bunju kama sikosei?
Wanafunzi wa IMTU walienda kumwaga mabaki ya miili waliyokwisha kufanyia majaribio.
Absolutely Mkuu,mimi pia nakumbuka though nahisi lilikuwa ni tukio la mwaka 2014
 
Pumzi ndiyo inayompa uthamani mwanadamu.....ikishamtoka pumzi mwanadamu hana tofauti na mzoga mwingine wowote wa msituni......
 
haikuwa jalalan ile ilikuw msitun cjui msitu wa pande au msitu gan nmesahau hapo
Ilikuwa balaa mkuu,wale jamaa wa imtu(wahindi) wasingekuwaga na pesa ya kuhonga ilikuwa bonge la msala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…