Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,371
Je,ni sisi wenyeji?
Je,ni wageni?
Je,ni pande zote mbili zinachangia gharama?
Kama kuna upande mmoja ndio unabeba gharama zote zikiwemo chakula,malazi,usafiri n.k,anaegharamiwa kisaikolojia anakuwa katika hali gani?
Je,hakuna effect yoyote katika mazungumzo iwapo upande mmoja ndio utakuwa unagharamia kila kitu?
Yaani mtu akupe usafiri mzuri,malazi bora, chakula cha high standard, na huduma zingine zote muhimu bure,kisaikolojia hali hii haina infuence/effect yoyote?
Na je,ukibeba sehemu kubwa ya gharama alafu mwisho wa siku mazungumzo yakakuendea vibaya napo inakuwaje?
Au kugharamia mazungumzo hakuna effect yoyote kwasababu kila upande ungeweza kujigharamia?
Nawaza tu but I am sure a smart person definetly would avoid this.