SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,181
- 9,796
Unajua kituo kinachofuata?Usishangae kujikuta magetoni mwake.Jana nimejikuta nimelala njee tena ni baada yakumuota X wangu amekuja kunisalimia nikaja kumfungulia mlango .
Aisee hii ni maajabu sasa hii inakuwaje ??
Sweet kande, you've got some magnificent imaginary stories!Jana nimejikuta nimelala njee tena ni baada yakumuota X wangu amekuja kunisalimia nikaja kumfungulia mlango .
Aisee hii ni maajabu sasa hii inakuwaje ??
wacha watu wajaribu bahati zao mkuuKumbe sio mara ya kwanza kukutokea !π€, pole sana Sweetie ila njia ya kwanza ya kusolve hii issue nadhani ni kuhakikisha unafunga milango yote na madirisha vizuri kabla hujala, halafu kama una mme yeye ndo awe analala huku mbeleni, wewe uwe mbali na mlango kuliko yeye, lakini pia kama ni mtu wa kusali/kuswali sana ongeza bidii. Lakini pia kitu kingine SweetyCandy FUNGA PM TAFADHALI π
Sikukuta ila ndotoni nilipomfungulia nilienda kutoa haja ndogo hapo njee ya geitiSehemu za sirini hukuta chochote baada ya kuamka ? vitu kama manii vile au ute ute.. Okay anyway ndoto harisi hizo
HAyaKumbe sio mara ya kwanza kukutokea !π€, pole sana Sweetie ila njia ya kwanza ya kusolve hii issue nadhani ni kuhakikisha unafunga milango yote na madirisha vizuri kabla hujala, halafu kama una mme yeye ndo awe analala huku mbeleni, wewe uwe mbali na mlango kuliko yeye, lakini pia kama ni mtu wa kusali/kuswali sana ongeza bidii. Lakini pia kitu kingine SweetyCandy FUNGA PM TAFADHALI π
Ni kweliSweet kande, you've got some magnificent imaginary stories!
Ni kweli etiUnajua kituo kinachofuata?Usishangae kujikuta magetoni mwake.
True nimejikuta hapo geitini pembeniWasiwasi Wako Tu....
Mmh Yale Yale ya kina @holoholoSehemu za sirini hukuta chochote baada ya kuamka ? vitu kama manii vile au ute ute.. Okay anyway ndoto harisi hizo