Maisha

sekion27

Member
Joined
Jul 25, 2021
Posts
56
Reaction score
37
Maisha kuna wakati ni changamoto, unatamani hata urudie kidato cha pili uwe umetulia tu nyumbn mama anakutafutia chakula, hadi nakumbuka maneno ya rafiki yangu tulikuwa tunakunywa wote hela za bumu, ila kaniambia ipo siku hizi hela tutazikumbuka mtaani, nami nimeona wala hata siambiwi.

Hapa nafikiria course work za maisha na bado sijatimiza sa sijajua hiyo UE ya maisha ndo itakuwaje ,,,,kweli nimeamini mtaani sio tu form six bali mtaani ni University professor
 
Mkuu wenyewe wana msemo wao siku hizi wanasema 'back to back'!
 
Kipindi hicho cha miaka ya 1800s wakati nasoma UDOM kuna raia walipopata boom wakaenda kujirusha, wanarudi usiku huku wamembeba mwenzao aliyeshindwa kutembea kutokana na ulevi huku akitapika kuanzia mwanzo hadi mwisho wa safari.
 
Nyie acheni haya maisha sio poa kabisa
 
Karibu mtaani


Naona kontena lingine LA majobless linakuja kwa mtaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…