Maisha yangu

 

Ase we nae unaona sifa kusema unanyanyaswa au? Umri huo ndiyo saiz yako kunyanyaswa kama huja akili! Toka hapo asubuhi nenda katafute hata sehem wanasukuma mikokoten kwaajili ya kuchota maji au kubeba mizigo upate buku yako ya siku au nenda hata kwa fundi gereji kajieleze unataka kujifunza wawe wanakutuma kule au hata kwa fundi seremala sijui ujenzi! Kama umesomea uandishi toka nenda kwenye ofisi za uandishi waambie unaomba kujifunza!
Umebweteka hapo utalia sana!
 
Dah😭Kila la kheri Kijana ulifanikiwa kupata kazi ya kujishikiza?
 
Hatujatofautiana umri kaka 🙆ila katika kitu nlikiepuka ni kufikia Kwa ndugu wakati nakuja Jiji la Makala 🤔nlipambana nkapanga saiv napigiwa simu kwanini siendi kumsalimia!

Jaribu kuwatafuta mabraza unaofahamiana nao waliopo hapa mjini jaribu kujichanganya nao soma mazingira fresh Kuna fursa utazigundua kupitia wao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…