C Captain mopao Senior Member Feb 25, 2021 133 379 Apr 1, 2021 #1 Wadau saivi Ges imepanda bei Vifurush vya simu vimepanda bei Kodi ya ardhi majengo zimepanda bei Vifaa vya ujenzi havishikiki tena Mafuta ya kula yamepanda bei Ngoja na mimi nianze kujishughulisha na CCM naweza pata neema...! Hakuna namna😁
Wadau saivi Ges imepanda bei Vifurush vya simu vimepanda bei Kodi ya ardhi majengo zimepanda bei Vifaa vya ujenzi havishikiki tena Mafuta ya kula yamepanda bei Ngoja na mimi nianze kujishughulisha na CCM naweza pata neema...! Hakuna namna😁
RRONDO JF-Expert Member Jan 3, 2010 51,758 107,931 Apr 1, 2021 #2 Piga kazi, tengeneza pesa kiasi kwamba hata vikipanda wala hujui.
C Captain mopao Senior Member Feb 25, 2021 133 379 Apr 1, 2021 Thread starter #3 RRONDO said: Piga kazi, tengeneza pesa kiasi kwamba hata vikipanda wala hujui. Click to expand... Ambao hawajui kupanda kwa bidhaa kina mwigulu nchemba huku nje ya mfumo ata upige kaz vp ni sawa na unaendesha baskeli iliopigwa stand
RRONDO said: Piga kazi, tengeneza pesa kiasi kwamba hata vikipanda wala hujui. Click to expand... Ambao hawajui kupanda kwa bidhaa kina mwigulu nchemba huku nje ya mfumo ata upige kaz vp ni sawa na unaendesha baskeli iliopigwa stand
RRONDO JF-Expert Member Jan 3, 2010 51,758 107,931 Apr 1, 2021 #4 Captain mopao said: Ambao hawajui kupanda kwa bidhaa kina mwigulu nchemba huku nje ya mfumo ata upige kaz vp ni sawa na unaendesha baskeli iliopigwa stand Click to expand... Ushajiwekea limit utabaki hapo hapo.
Captain mopao said: Ambao hawajui kupanda kwa bidhaa kina mwigulu nchemba huku nje ya mfumo ata upige kaz vp ni sawa na unaendesha baskeli iliopigwa stand Click to expand... Ushajiwekea limit utabaki hapo hapo.
Mother Confessor JF-Expert Member Jan 7, 2016 18,596 45,225 Apr 1, 2021 #5 Nawewe yachanganye,.usiyarembee mzee baba,..
M Maili tatu JF-Expert Member Aug 8, 2020 830 1,065 Apr 1, 2021 #6 Ukishaweka ukomo kwenye upambanaji ndo basi tenaa ushaharibu...
Lupweko JF-Expert Member Mar 26, 2009 20,693 20,454 Apr 2, 2021 #9 RRONDO said: Ushajiwekea limit utabaki hapo hapo. Click to expand... Haya ni maneno ya motivational speakers, mambo kama hayaendi, hayaendi tu
RRONDO said: Ushajiwekea limit utabaki hapo hapo. Click to expand... Haya ni maneno ya motivational speakers, mambo kama hayaendi, hayaendi tu
Mbaga Jr JF-Expert Member May 28, 2018 19,088 41,587 Apr 2, 2021 #10 Captain mopao said: Mafuta ya kura yamepanda bei Click to expand... Hv hayo mafuta ndo yale yanayotumika kulainisha kura za ccm au.?
Captain mopao said: Mafuta ya kura yamepanda bei Click to expand... Hv hayo mafuta ndo yale yanayotumika kulainisha kura za ccm au.?
RRONDO JF-Expert Member Jan 3, 2010 51,758 107,931 Apr 2, 2021 #11 Lupweko said: Haya ni maneno ya motivational speakers, mambo kama hayaendi, hayaendi tu Click to expand... Tangu mlijue hilo jina motivational speaker basi ushauri wote mnaubatiza hilo jina. Haya mambo hayaendi kaa usubiri yataenda yenyewe.
Lupweko said: Haya ni maneno ya motivational speakers, mambo kama hayaendi, hayaendi tu Click to expand... Tangu mlijue hilo jina motivational speaker basi ushauri wote mnaubatiza hilo jina. Haya mambo hayaendi kaa usubiri yataenda yenyewe.
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 119,333 142,126 Apr 2, 2021 #12 Ndiyo muda wa kupambana zaidi...