Maisha yanaanza ukifika 40yrs

Maisha yanaanza ukifika 40yrs

It is never too late kufanya chochote...
Muda sahihi ni ule unaofikiriri ni tayari kwako.....
Kwa hiyo wenye 40+ asilimia 90 wako zaidi ya vizuri sio??
Na hao ambao bado wanapambana inamaanisha hawajui kufight sio....?
Juzi hapa kikotoo cha mafao ya uzeen kimetenguliwa..kila kona ni kelele...manake wengi wa wafanyakazi walikua wanasubiri hizi pesa ndo waenjoy maisha kidogo....kwao life begins at 60 tuseme...

Life begins at any time you see an opportunity....ukaitumia vizuri...wewe binafsi na kizazi chako mkaanza kuishi sio kuwepo tu...

Kuna wanaotoboa in 20,s 30's etc...na kuna ambao wanazaliwa kwenye familia zilizotoboa tayari..yaani huyu life begins siku katungwa mimba...

Tuendelee kupambana bila kukata tamaa....
 
Watu wengi hawajui kwa nini wazungu huwa wanasema *"LIFE BEGINS AT 40".*
Yaani maisha yako ya kweli yataanza ukifika umri wa Miaka 40. Wakati ambapo unatakiwa uwe na elimu uliyoihitaji.. Uwe na familia yako tayari.. Uwe na kwako tayari siyo umepanga bado.. Uwe na usafiri binafsi.. Uwe na kitu chako cha kukuingizia pesa na si kutegemea ajira peke yake. *At 40!!*

*At 40* inabidi uwe unaishi. Siyo ndio unaanza kujaribu hiki na kile.
*At 40* inabidi uwe unasomesha zaidi kuliko kusoma wewe japo kuongeza maarifa ni vizuri.
*At 40* unatakiwa uwe umeshapata exposure kusafiri huku na kule dunia hii kujua wengine walioendelea zaidi wanaishi vipi na wewe ufanyeje?
*At 40* utakuwa unaomba nauli kwa baba na mama kwani?

Sasa hivi vitu haviji ukiwa upoupo tu hutafuti fursa za kukusaidia kuwa na maisha tofauti upo tu una LIKE kila kitu facebook na Instagram unatuma tu picha za ajali za mabasi zikikosekana unatuma za migomo ya madereva mgomo ukiisha unatuma za mafuriko kama mvua zimeisha unatuma picha za Lowassa yaani umekuwa mtumwa wa simu. Ikikosa network unalalamikia kampuni ya simu utafikiri hiyo network unafanyia kitu cha maana. Gallery yako imejaa vitu vya ajabuajabu tu. Havikufikishi popote na umri unazidi kwenda unazidi kusogea miaka 40 hivi hivi. Maisha ya kweli yataanza ukiwa na miaka 40. Wakati ambapo watoto wako hawatakula LIKES zako za instagram bali wanahitaji chakula. Wanahitaji ada. Wanahitaji maisha bora. Wewe unasubiri maisha bora CCM ndio wakupe. Wasipokupa unataka UKAWA waje wakupe ukiwa umekaa Instagram una LIKE picha za Wema Sepetu. Umeshajua wema akifika miaka 40 atakuwaje? Ulishajiuliza wanamuziki waliovuma miaka 15 iliyopita wakiwa na umri wa miaka 25 hivi au 30 wakati huo wana miaka mingapi na wako wapi sasa hivi. You see? Unayemfuatilia kila siku kavaaje kaamkaje katembea na nani hakusaidii kuwa na maisha mazuri. Maisha bora hayaji ukiwa unafatilia nyimbo gani zimetoka udownload. Maisha bora hayaji kwa KU-ENTERTAIN brain yako bali kwa kuifikirisha akili na kufanya mambo ambayo wachache tu ndo wanafanya.

Kwani wanasoka wangapi wako kama Beckham
Wanamuziki wangapi wako kama Kirk Franklin
Wacheza Tennis wangapu wako kama Roger Federer? Unadhani amekuwa champion akiwa amekaa na TECNO chumbani ana comment kuhusu migomo? No. Alikuwa ana-hussle wakati wengine wanachat.

Seriously. Diamond unaye mfollow anafanya kazi hivyo. Anatoka studio saa saba usiku wewe uko kwenye page yake una LIKE. Huwezi kuona kuwa uko tofauti. Anaandaa maisha akifika miaka 40 awe na kila kitu wewe utakuwa unalalamikia network ya tigo na kutuma picha za sijui gari limegonga treni. Kwa hiyo wewe ndo NIPASHE sasa hivi?

Anyway. Kuwa serious na maisha yako angalau basi kwa ajili ya watoto wako na wajukuu zako.
Aisee huyu mzazi wetu alifanya jambo la maana . Au unadhani watazikuta hizo comments na LIKES zako? No. Wanapaswa wakute nyumba, viwanja, account za benki zinazopumua. Siyo account inaingiaga mshahara tu halafu by tarehe 10 iko empty ushakomba kila kitu!!!! Wanatakiwa wakute assets za maana angalau . Siyo rundo la CD za bongo movie ambazo hazikusaidii wewe wala wao.

Siku zilizobaki kumaliza mwaka huu 2018 una mikakati gani kuweka msingi wa maisha tofauti sana na kuhakikisha ufikapo umri wa miaka 40?
Au bado unategemea mshahara wa laki 6 (tena hapo kabla ya makato) uje ubadili maisha yako.
Kwa waajiriwa, Microsoft ya Bill Gates inapunguza wafanyakazi 800. Kama ulikuwa hujui. Unadhani kampuni yako ndo utakaa hapo milele???
Be carefully ndugu.

" KUZALIWA MASIKINI SI KOSA BUT KUFA MASIKINI NI DHAMBI"
*Nimekopy mahali*
Pamoja na hayo, nimel like bandiko lako hata kama halina msaada kwangu, maana hata kuvumilia kusoma vijembe yataka moyo. Japo maisha yangu hayakuhusu, utajiri au umasikini ni chaguo la mtu, kwani vyote hivyo, umasikini au utajiri havina msaada kukabiliana na kifo.
Ova
 
We endelea kuishi maisha late 20s although you approaching 40 alafu utaijua hyo formula unayoisema elewa nilichoandika ili ufanikiwe at 40 and above inabidi uitumie vizuri hi 20-40 otherwise utakua mcheza Biko tu au tatu mzuka
Ila mkuu ukumbuke watu wanaishi kama mbinguni kwa kuendesha biko au tatu mzuka, wewe unadhani unaweza kuwaondoa wajinga wote duniani, wajinga wapo ili werevu wapate kuishi kupitia kwao, maisha ni kutegemeana, mjinga ana mtegemea mwenye akili, na maskini anamtegemea tajiri, na tajiri anamtegemea asiye nacho, mzunguko huo yani.
 
Laiti ungejua kuwa life haina fomula maalumu ya kufanikiwa usingepoteza muda kuundika uzi huu mrefuuu.

Eti eh??

But all ina all determination spots there.

Hata utusue billion 100 za kuokota now,tukifika pale 40 ndio utajua unaiachake familia yako.
 
Watu wengi hawajui kwa nini wazungu huwa wanasema *"LIFE BEGINS AT 40".*
Yaani maisha yako ya kweli yataanza ukifika umri wa Miaka 40. Wakati ambapo unatakiwa uwe na elimu uliyoihitaji.. Uwe na familia yako tayari.. Uwe na kwako tayari siyo umepanga bado.. Uwe na usafiri binafsi.. Uwe na kitu chako cha kukuingizia pesa na si kutegemea ajira peke yake. *At 40!!*

*At 40* inabidi uwe unaishi. Siyo ndio unaanza kujaribu hiki na kile.
*At 40* inabidi uwe unasomesha zaidi kuliko kusoma wewe japo kuongeza maarifa ni vizuri.
*At 40* unatakiwa uwe umeshapata exposure kusafiri huku na kule dunia hii kujua wengine walioendelea zaidi wanaishi vipi na wewe ufanyeje?
*At 40* utakuwa unaomba nauli kwa baba na mama kwani?

Sasa hivi vitu haviji ukiwa upoupo tu hutafuti fursa za kukusaidia kuwa na maisha tofauti upo tu una LIKE kila kitu facebook na Instagram unatuma tu picha za ajali za mabasi zikikosekana unatuma za migomo ya madereva mgomo ukiisha unatuma za mafuriko kama mvua zimeisha unatuma picha za Lowassa yaani umekuwa mtumwa wa simu. Ikikosa network unalalamikia kampuni ya simu utafikiri hiyo network unafanyia kitu cha maana. Gallery yako imejaa vitu vya ajabuajabu tu. Havikufikishi popote na umri unazidi kwenda unazidi kusogea miaka 40 hivi hivi. Maisha ya kweli yataanza ukiwa na miaka 40. Wakati ambapo watoto wako hawatakula LIKES zako za instagram bali wanahitaji chakula. Wanahitaji ada. Wanahitaji maisha bora. Wewe unasubiri maisha bora CCM ndio wakupe. Wasipokupa unataka UKAWA waje wakupe ukiwa umekaa Instagram una LIKE picha za Wema Sepetu. Umeshajua wema akifika miaka 40 atakuwaje? Ulishajiuliza wanamuziki waliovuma miaka 15 iliyopita wakiwa na umri wa miaka 25 hivi au 30 wakati huo wana miaka mingapi na wako wapi sasa hivi. You see? Unayemfuatilia kila siku kavaaje kaamkaje katembea na nani hakusaidii kuwa na maisha mazuri. Maisha bora hayaji ukiwa unafatilia nyimbo gani zimetoka udownload. Maisha bora hayaji kwa KU-ENTERTAIN brain yako bali kwa kuifikirisha akili na kufanya mambo ambayo wachache tu ndo wanafanya.

Kwani wanasoka wangapi wako kama Beckham
Wanamuziki wangapi wako kama Kirk Franklin
Wacheza Tennis wangapu wako kama Roger Federer? Unadhani amekuwa champion akiwa amekaa na TECNO chumbani ana comment kuhusu migomo? No. Alikuwa ana-hussle wakati wengine wanachat.

Seriously. Diamond unaye mfollow anafanya kazi hivyo. Anatoka studio saa saba usiku wewe uko kwenye page yake una LIKE. Huwezi kuona kuwa uko tofauti. Anaandaa maisha akifika miaka 40 awe na kila kitu wewe utakuwa unalalamikia network ya tigo na kutuma picha za sijui gari limegonga treni. Kwa hiyo wewe ndo NIPASHE sasa hivi?

Anyway. Kuwa serious na maisha yako angalau basi kwa ajili ya watoto wako na wajukuu zako.
Aisee huyu mzazi wetu alifanya jambo la maana . Au unadhani watazikuta hizo comments na LIKES zako? No. Wanapaswa wakute nyumba, viwanja, account za benki zinazopumua. Siyo account inaingiaga mshahara tu halafu by tarehe 10 iko empty ushakomba kila kitu!!!! Wanatakiwa wakute assets za maana angalau . Siyo rundo la CD za bongo movie ambazo hazikusaidii wewe wala wao.

Siku zilizobaki kumaliza mwaka huu 2018 una mikakati gani kuweka msingi wa maisha tofauti sana na kuhakikisha ufikapo umri wa miaka 40?
Au bado unategemea mshahara wa laki 6 (tena hapo kabla ya makato) uje ubadili maisha yako.
Kwa waajiriwa, Microsoft ya Bill Gates inapunguza wafanyakazi 800. Kama ulikuwa hujui. Unadhani kampuni yako ndo utakaa hapo milele???
Be carefully ndugu.

" KUZALIWA MASIKINI SI KOSA BUT KUFA MASIKINI NI DHAMBI"
*Nimekopy mahali*
 
Ni sahihi. Na matokeo ya maisha yako from 0 to 39 revealed at 40.>>>
 
Pamoja na hayo, nimel like bandiko lako hata kama halina msaada kwangu, maana hata kuvumilia kusoma vijembe yataka moyo. Japo maisha yangu hayakuhusu, utajiri au umasikini ni chaguo la mtu, kwani vyote hivyo, umasikini au utajiri havina msaada kukabiliana na kifo.
Ova
Unajifariji. Utakutana nao wenzio we tega GoGo tuu!!!
 
Watu wengi hawajui kwa nini wazungu huwa wanasema *"LIFE BEGINS AT 40".*
Yaani maisha yako ya kweli yataanza ukifika umri wa Miaka 40. Wakati ambapo unatakiwa uwe na elimu uliyoihitaji.. Uwe na familia yako tayari.. Uwe na kwako tayari siyo umepanga bado.. Uwe na usafiri binafsi.. Uwe na kitu chako cha kukuingizia pesa na si kutegemea ajira peke yake. *At 40!!*

*At 40* inabidi uwe unaishi. Siyo ndio unaanza kujaribu hiki na kile.
*At 40* inabidi uwe unasomesha zaidi kuliko kusoma wewe japo kuongeza maarifa ni vizuri.
*At 40* unatakiwa uwe umeshapata exposure kusafiri huku na kule dunia hii kujua wengine walioendelea zaidi wanaishi vipi na wewe ufanyeje?
*At 40* utakuwa unaomba nauli kwa baba na mama kwani?

Sasa hivi vitu haviji ukiwa upoupo tu hutafuti fursa za kukusaidia kuwa na maisha tofauti upo tu una LIKE kila kitu facebook na Instagram unatuma tu picha za ajali za mabasi zikikosekana unatuma za migomo ya madereva mgomo ukiisha unatuma za mafuriko kama mvua zimeisha unatuma picha za Lowassa yaani umekuwa mtumwa wa simu. Ikikosa network unalalamikia kampuni ya simu utafikiri hiyo network unafanyia kitu cha maana. Gallery yako imejaa vitu vya ajabuajabu tu. Havikufikishi popote na umri unazidi kwenda unazidi kusogea miaka 40 hivi hivi. Maisha ya kweli yataanza ukiwa na miaka 40. Wakati ambapo watoto wako hawatakula LIKES zako za instagram bali wanahitaji chakula. Wanahitaji ada. Wanahitaji maisha bora. Wewe unasubiri maisha bora CCM ndio wakupe. Wasipokupa unataka UKAWA waje wakupe ukiwa umekaa Instagram una LIKE picha za Wema Sepetu. Umeshajua wema akifika miaka 40 atakuwaje? Ulishajiuliza wanamuziki waliovuma miaka 15 iliyopita wakiwa na umri wa miaka 25 hivi au 30 wakati huo wana miaka mingapi na wako wapi sasa hivi. You see? Unayemfuatilia kila siku kavaaje kaamkaje katembea na nani hakusaidii kuwa na maisha mazuri. Maisha bora hayaji ukiwa unafatilia nyimbo gani zimetoka udownload. Maisha bora hayaji kwa KU-ENTERTAIN brain yako bali kwa kuifikirisha akili na kufanya mambo ambayo wachache tu ndo wanafanya.

Kwani wanasoka wangapi wako kama Beckham
Wanamuziki wangapi wako kama Kirk Franklin
Wacheza Tennis wangapu wako kama Roger Federer? Unadhani amekuwa champion akiwa amekaa na TECNO chumbani ana comment kuhusu migomo? No. Alikuwa ana-hussle wakati wengine wanachat.

Seriously. Diamond unaye mfollow anafanya kazi hivyo. Anatoka studio saa saba usiku wewe uko kwenye page yake una LIKE. Huwezi kuona kuwa uko tofauti. Anaandaa maisha akifika miaka 40 awe na kila kitu wewe utakuwa unalalamikia network ya tigo na kutuma picha za sijui gari limegonga treni. Kwa hiyo wewe ndo NIPASHE sasa hivi?

Anyway. Kuwa serious na maisha yako angalau basi kwa ajili ya watoto wako na wajukuu zako.
Aisee huyu mzazi wetu alifanya jambo la maana . Au unadhani watazikuta hizo comments na LIKES zako? No. Wanapaswa wakute nyumba, viwanja, account za benki zinazopumua. Siyo account inaingiaga mshahara tu halafu by tarehe 10 iko empty ushakomba kila kitu!!!! Wanatakiwa wakute assets za maana angalau . Siyo rundo la CD za bongo movie ambazo hazikusaidii wewe wala wao.

Siku zilizobaki kumaliza mwaka huu 2018 una mikakati gani kuweka msingi wa maisha tofauti sana na kuhakikisha ufikapo umri wa miaka 40?
Au bado unategemea mshahara wa laki 6 (tena hapo kabla ya makato) uje ubadili maisha yako.
Kwa waajiriwa, Microsoft ya Bill Gates inapunguza wafanyakazi 800. Kama ulikuwa hujui. Unadhani kampuni yako ndo utakaa hapo milele???
Be carefully ndugu.

" KUZALIWA MASIKINI SI KOSA BUT KUFA MASIKINI NI DHAMBI"
*Nimekopy mahali*
Kweli kabisa big up kwa mtoa post wanaume tumezaliwa kupambana nashangaa kuna watu wanapata muda wa kupost picha kwa social media ambazo hazina faida kwake pesa anaomba kwa wazazi kazi hataki
 
Back
Top Bottom