jogijo
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 262
- 509
Ndugu habarini za mda huu!?
Niende kwenye mada moja kwa moja. Mimi nimeoa mwaka wa pili sasa na kwa neema ya Neema ya Mungu tumebarikiwa kupata mtoto mmoja miezi michache iliyopita.
Mke wangu ni mtu loyal sana kwangu, na kiukweli anajitaidi, ninafurahia ndoa kwa upande mmoja. lkn kwa upande mwingi Napata changamoto ambayo japo hainifanyi nimchukie au nichukie ndoa lkn inanifanya nipate wakati mgumu wa kuhakikisha naendelea na adhma yangu ya kuwa mwaminifu kwenye ndoa yangu.
Iko hivi, mke wangu alijifungua kwa operation miezi michache iliyopita, na kwa bahati mbaya na mazingira yalivo ilibidi nikae nae mwenyewe kumhudumia.
Wanaume wanafaham sana changamoto wanazopata kihisia pale mke anapojifungua, nimeweza kuvumilia maana ni ahadi yangu kutokumcheat mke wangu, ikitokea basi ila siwez tongoza mwanamke kwa sasa. Baada ya mda wa maternity kuisha, mambo yanaenda ndivo sivo hasa kwenye swala la kugegedana.
Mimi mda mwingi napata hamu sana, lakini kutokana na jukumu la mtoto kuna mda naona huruma simwombi, lkn namwambia kuwa ninatamani. Sababu ya kumwambia ni kuwa akipata mda yuko huru basi aniambie angalau nipunguze nyege. lakin hili hawez fanya, inafika Naweza kukaa hata mwezi mzima labda kanipa mara mbili tu and mnajua baada ya kujifungua mechi haziwi na kash kash kama ile ya kawaida, so unaweza fanya as if unapiga punyeto. navumilia lkn naona kabisa napata wakati mgumu.
Ushauri wenu wadau, maana nakua nahisi nikimwambia mm nataka ataona namnyanyasa wakati mwingine pengine anakua kachoka na akalazimika Kunipa kutimiza wajibu.
NB: Natafta solution au experience, kama una ushauri wa kuchepuka pita tu usikoment maana ile sio solution.
asanteni.