Maisha yamepanda bei

Me nashangaa sana, hela zimebanwa halafu bei za vitu ziko pale pale, wachumi tusaidieni tafadhali...
 
Wacha JPM aendelee kuinyoosha nchi.
Watu walikuwa wameshaharibika maumbo kila mtu KITAMBI, si mtoto, si Askari, hata wazee. Wanawake ndio kabisaaa...msichana mdogo ananenepeana kama kondoo ukimwona kwa mbali hujui anakuja au anaenda!

Magu kanyaga twende baba.
 
hi cuzoo..text me plz simu ilipata shida kwahyo nimepoteza namba zote dia!! miss u..
kingine haya maisha magum mpaka nawaza nijilipue niende kwa Trumph nikawe mkimbizii!! hahah
Hello cuzoo darling.
Hata mimi nimebadilisha simu ila namba zako ninazo kwa notebook, nitakuwasap mpenzi.

Yani maisha yamekuwa magumu jamani hadi tunapotezana!
Sasa kama wewe boss lady wangu unalia mimi itakuwaje?
Uwiiiiiiii

Miss you more sweetheart
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…