Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 540
- 2,226
Inanisaidia kunifariji mtandaoniUza iyo pixel 3a ununue smart kitochi
maisha hayajawahi kua fair brother! hebu angalia hii
uko hai mzima wa afya kuna mwengine anapigania uhai wake icu
una pa kulala walau utadaiwa kodi kuna mwenzio hajui usiku ukiingia atalala wapi
una sim umeweza kutype jf kuna mwenzio anaitaman awe nayo hata aspopigiwa yeye awe na simu
unajua nn jifunze kushukuru kwa kidogo ulichonacho usiache kupambana hujui muda wala siku ya kutusua
Mimi nauguza mzee nahisi kuchanganyikiwa.
Wakuu...nahisi naongea pekeangu au nacheka pekeangu Ila sijapata mtu tu wa kuniambia kwa jinsi life lilivonichapa.
Kazi niliyokuwa nayo Sina Tena,marafiki niliyokuwa na kunywa nao hawapo Tena,simu yangu siku nzima saa 24 hakuna hata missed call.
Nashindwa kupita mtaani, natoka ghetto asubuhi sa 12 narudi usiku Sana naogopa vidole mtaani.
Bili ya umeme na maji nimekuwa mdaiwa sugu Bado Kodi ya nyumba..
Yaani mpka nimesema..mpenzi wangu yule nilikuwa nawaletea visa vyake nae kaniacha kikatili Sana.
Mungu atusaidie vijana tunapitia magumu Sana
Mmh! Comment maridadi kabisa. Ungekuwa jirani yangu ungepata dinner week nzima bill juu yangu.maisha hayajawahi kua fair brother! hebu angalia hii
uko hai mzima wa afya kuna mwengine anapigania uhai wake icu
una pa kulala walau utadaiwa kodi kuna mwenzio hajui usiku ukiingia atalala wapi
una sim umeweza kutype jf kuna mwenzio anaitaman awe nayo hata aspopigiwa yeye awe na simu
unajua nn jifunze kushukuru kwa kidogo ulichonacho usiache kupambana hujui muda wala siku ya kutusua
sasa si hiyo hela ya bill tuma kwenye namba hii tuMmh! Comment maridadi kabisa. Ungekuwa jirani yangu ungepata dinner week nzima bill juu yangu.
una simu ya laki 3 na hela ya Mb unapata mara kwa mara halafu unalia maisha magumu..
we mlishe tu ila 'mzigo' nakula mimi.. lolMmh! Comment maridadi kabisa. Ungekuwa jirani yangu ungepata dinner week nzima bill juu yangu.
Pole sana, kwanza umepotezaje hiyo kazi? Pia ulijiwekea akiba ktk mapato yako au pombe ndo zilikufilisi?Wakuu, nahisi naongea peke yangu au nacheka peke yangu ila sijapata mtu tu wa kuniambia kwa jinsi life lilivonichapa.
Kazi niliyokuwa nayo sina tena, marafiki niliyokuwa na kunywa nao hawapo tena, simu yangu siku nzima saa 24 hakuna hata missed call.
Nashindwa kupita mtaani, natoka ghetto asubuhi saa 12 narudi usiku sana naogopa vidole mtaani.
Bili ya umeme na maji nimekuwa mdaiwa sugu, bado Kodi ya nyumba.
Yaani mpaka nimesema, mpenzi wangu yule nilikuwa nawaletea visa vyake nae kaniacha kikatili sana.
Mungu atusaidie vijana tunapitia magumu sana!
Asante sn, ni mtihani mkubwa ukizingatia na hizi familia zetu mkuu.Pole mkuu