BOT na TRA zinaajiri watu wangapi kwa mwaka? Na vijana wanaomaliza vyuo wapo wangapi?Wanabodi,Leo hii kila kona ya nchi kuna vyuo vikuu bora na vya kisasa zaidi ya Harvard ,Yale pamoja na Stanford ambavyo vinatengeneza vijana wenye maarifa katika utafiti , uongozi na teknolojia...
Mimi nimekuelewa.Wanabodi,Leo hii kila kona ya nchi kuna vyuo vikuu bora na vya kisasa zaidi ya Harvard ,Yale pamoja na Stanford ambavyo vinatengeneza vijana wenye maarifa katika utafiti , uongozi na teknolojia...
Shetani katika ubora wake.Wanabodi,Leo hii kila kona ya nchi kuna vyuo vikuu bora na vya kisasa zaidi ya Harvard ,Yale pamoja na Stanford ambavyo vinatengeneza vijana wenye maarifa katika utafiti , uongozi na teknolojia...
👊👊 akili kubwa.BOT na TRA zinaajiri watu wangapi kwa mwaka? Na vijana wanaomaliza vyuo wapo wangapi?
Na kiwango cha huduma za Jubilee , Strattegies utafananisha na NHIF ?
Kafanye uchunguzi nakupa hizi home work 2 ukishamaliza kaa kimya usiwe unapost pumba.
Hii ya Wafanyakazi sijui ! umebugiWanabodi,Leo hii kila kona ya nchi kuna vyuo vikuu bora na vya kisasa zaidi ya Harvard ,Yale pamoja na Stanford ambavyo vinatengeneza vijana wenye maarifa katika utafiti , uongozi na teknolojia....
Wale wenye ufaulu mkubwa na bright darasani wanawaajiliBOT na TRA zinaajiri watu wangapi kwa mwaka? Na vijana wanaomaliza vyuo wapo wangapi?
Na kiwango cha huduma za Jubilee , Strattegies utafananisha na NHIF ?
Kafanye uchunguzi nakupa hizi home work 2 ukishamaliza kaa kimya usiwe unapost pumba.
Utaongezewaje mshahara wakati huzalishi?Hayo maisha mazuri ya wafanyakazi yanakuwaje mazuri pasipo nyongeza ya mshahara miaka mitano?
Sijui huwa mnatumwa mje huku kujaribu kuhadaa watu.
Unaelewa maana ya kuzalisha au unaongea tu, kila mtumishi anazalisha kutokana na kada yake sina haja ya kuzungumza zaidi hapa.Utaongezewaje mshahara wakati huzalishi?
Unalipwa kutokana na huduma au bidhaa unayauza au kutoa
Wewe unafanya kazi mpaka utishiwe na Rais halafu unataka mshahara nani atakupa
Wale wenye ufaulu mkubwa na bright darasani wanawaajili
Wewe kama ulikuwa unacheza chuo ukapata GPA ya 2.7 hilo sahau mkuu
Ukitaka idadi nenda kwa vice chancellors udsm au ITA au IFM uliza wale wenye GPA kubwa wapo wapi?
Mwezi huu TRA imeajili mamia ya vijana waliofaulu interview
Kama ulifeli huwezi kupata taarifa hizi kwani umekaa kufeli feli tu
Hivi mnapewaga nini kuwasemea uongo watu ambao hawajawatuma kuwasemea?Wanabodi,Leo hii kila kona ya nchi kuna vyuo vikuu bora na vya kisasa zaidi ya Harvard ,Yale pamoja na Stanford ambavyo vinatengeneza vijana wenye maarifa katika utafiti, uongozi na teknolojia
Mfano mfumo wa malipo wa GEPG (Government electronic payment gateway system) imeundwa na vijana hawa wazalendo wakiongozwa na kubwa lao kijana toka pale BOT sasa ni mkurugenzi wa mifumo wizara ya fedha na alisoma University of Dar es Salaam(UDSM).
Mfumo wa GEPG kwa kutumia control number umerahisisha malipo ya maji na umeme kwa kila mtanzania hilo halipingiki kuwa kwa sasa elimu yetu ni bora na vijana wanajiajili na wameajilika kwa maelfu
Kuanzia mwaka 2013 mpaka mwaka 2020 maelfu ya vijana wameajiriwa serikalini mfano Mamlaka ya mapato Tanzania TRA pamoja na Bank kuu ya Tanzania BoT huku wakilipwa mishahara mikubwa inayowawezesha kuendana na kasi ya awamu ya tano ya hapa kazi tu
Wafanyakazi wa serikali wameweza kumudu gharama za familia hasa upande wa vyakula na matibabu muhimu ya afya
Bima ya afya ya Taifa yaani NHIF imeboreshwa na kuwa Bima bora zaidi ukilinganisha na Bima za mashirika binafsi kama strategies,Jubilee au GA insurance hivyo watu wote hasa wa serikalini wanakula bata kwa gharama hizi nafuu
Chama changu Cha Mapinduzi kinatakiwa kufanya yafuatayo baada ya kushinda Octoba 28 mwaka huu 2020 ili wahitimu na wafanyakazi wazidi kuwa na furaha zaidi na nchi yao
Mosi,Kuondoa Chuki iliyopandwa na viongozi wetu kati ya vyama vya siasa yaani wana ccm na wana chadema,Hii chuki imekuwa kubwa na imepoteza furaha kwa watu,Ukifuatilia ni kama watu wanasubiri mtu wa kusema na nyinyi upande wa pili jibuni mapigo,Akitokea mtu akasema jibuni mapigo vita hii haitazimwa kirahisi watu wana uchungu na hasira sana mioyoni mwao wanafikiria ccm inabebwa awamu hii ya tano
Pili,Hoja zijibiwe kwa hoja na pale unapozidiwa hoja unachutama na kurekebisha makosa mfano suala la uhuru wa habari na vyombo vyake limekuwa linaongelewa kila kona ya nchi,Hii sekta sasa inaanza kujenga chuki kati ya waandishi na Raia
All in all mapambano yanaendelea tutashinda kwa mbinu za kisasa zaidi na zilizoboreshwa technically tutawapiga mchana kweupe huku mkifikiri ni usiku
Point nzuri ila nakukumbusha kitu, kusoma kutakusaidia usifanye kazi ngumu ila sio kupata hela, namaanisha hela nyingi.Acha upotoshaji, nina lower second ya 3.3 lakini ni mtu muhimu sana katika Insurance industry nikiongoza vipanga wa GPA za 4.4 etc tena uzuri wengine ni classmates wangu wa pale Mzumbe Main campus pamoja na postgraduate.
Ila huwa nacheka sana nikiona madogo mnaumiza kichwa kuhusu sjui GPA mara mwingine ahangike na majina ya vyuo, haya yote nilikuja kuona upuuzi baada ya kuingia kwenye field.
Nachoweza kukumbuka ni kuwa, ukiwa na confidence yako na ukasoma vizuri kuelewa darasani In practical, ukabobea kwenye fani unayoipenda pamoja na kudevote muda wako wa ziada kujikumbushia ya darasani hata baada ya kuwa umemaliza chuo. Hakika ushindi kwako ni hakika.