Maisha yale hayatajirudia tena!

Tunaomba hii story uandike uimalize uzibe masikio kabisa maan kuna watu hapa ndani kuandika hawawezi lkn kweny story za wenzao wanatikisa matako tu.

Kua na roho
Kama baba ako anavotikisa matako kwa mabasha wake😂
 
Sehemu ya 3 inaendelea...

Baada ya yule mwanafunzi niliyempiga na dumu kumuhudumia kwa matibabu aliyetoa kaka,nilirudishwa shule na kaka,mda ulikuwa umeenda sana maana kipindi kile tulikuwa tunatoka saa 8 mchana,kaka moja kwa moja akaenda kwa mkuu wa shule kuzungumza naye,mimi nilibaki nimekaa juu ya pikipiki lile kubwa,basi kila mwanafunzi alishangaa hilo baja la kaka.

Baada ya mda kupita kaka alirejea akaniambia kesho utarudi shule,akapanda pikipiki akawasha tukaondoka huku akipiga moshi 3 na stop engine,hilo soo likaisha kidzaini hiyo.

Nikaendelea na masomo kama kawaida,soo nyingine iliyonifanya nikahamishwa shule,ni hii..

Shule kulikuwa na utaratibu kwa wanafunzi wenyewe kutafuta mbabe wa darasa,sasa mimi nilikuwa mtundu sana na wanafunzi wengine waliniona mimi ndo mbabe wa darasa,kuna dogo naye alijifanya ananiweza sana,pambano liliwekwa mtoni,kweli dogo nilimpiga ngumi za pua na mateka ya tumbo akaanza kutapika damu,wanafunzi waoga walikimbia shule kuwaita walimu.

Baada ya kufanya tukio hilo,nilikimbia home kujichimbia,kuhofia adhabu..

Itaendeleaaa ....
 
dmsalamie mwalimu Lesian
 
Wai story ya kitoto hii.
Eti jitu nzima linasimulia habari za mabata wadogo wadogo
 
Kama huna story ya kitoto wewe ulikuwa mtoto wa mama
Hivi ebu assume kila mtu alete story yake ya utotoni hapa.
Kiufupi story yako ni ya kishamba sana hata haivutii ndio maana haina views wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…