IF words were horses,everyone could drive one!Words without figures....
....shangazi ukiacha uSnura kumbe kidogo zinachaji!!kutoka kwenye umilionea mpaka utangazaji, kweli maisha yamemnyokea
then beggers would ride[emoji12] [emoji12] [emoji12]IF words were horses,everyone could drive one!
Mbona sijaona direct kilichomnyookea
Alafu kiredio chenyewe kile kimeanza kukosa mvuto, hata wasikilizaji wamepunguakutoka kwenye umilionea mpaka utangazaji, kweli maisha yamemnyokea
Horses are ridden, sir.IF words were horses,everyone could drive one!
Choice FM ni zamani... Sasa hivi full kiswahili. Itaanza kushindana na clouds sasaAlafu kiredio chenyewe kile kimeanza kukosa mvuto, hata wasikilizaji wamepungua
Sijui nani aliowashauri iwe hivo,imekua mbaya,wanapiga ngoma kama za clouds tu..niw nimehamia tbc international na kiss fm mchana naskiliza magic..choice wanaiharibu wenyeweChoice FM ni zamani... Sasa hivi full kiswahili. Itaanza kushindana na clouds sasa
Hata sijui niende wapi.. East Africa walibadilika, Choice nao ndo hivyo... Yani majanga tuu... Wamepoteza mwelekeo.Sijui nani aliowashauri iwe hivo,imekua mbaya,wanapiga ngoma kama za clouds tu..niw nimehamia tbc international na kiss fm mchana naskiliza magic..choice wanaiharibu wenyewe