Maisha ya Wanaume na changamoto za ukuaji

Maisha ya Wanaume na changamoto za ukuaji

Sam mirror

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
1,461
Reaction score
2,241
Habari wakuu hii ni thread ambayo itakuwa inazungumzia mambo yanayohusu watu wote wenye jinsia ya kiume, hasahasa kipindi cha balehe mpaka utu uzima kuna changamoto mbalimbali vijana huzipitia katika kipindi hiki, ikiwemo balehe, mahusiano ya kimapenzi n.k

Ni imani yangu hili ni jukwaa linalokutanisha wanaume wa umri mbalimbali wanaoweza kukakaa na kushauri ni jinsi gani.

1. Walivyoweza kupata wenza wa kweli
2. Kupambana na balehe na visanga vyake
3. Nyeto na mbinu za kuacha
4. Kuachana na wanawake pasua kichwa
5.Kuachana na tabia ya kubembeleza mwanamke

Haya ni baadhi ya maswali machache tutakayoanza nayo kama kuna lolote unaweza kulijibu mchango wako utakuwa umesaidia mtu mmoja wapo.

Mana imefikia hatua vijana wanajiua kisa mapenzi na vitu vingine kama unavyo

Na pia usisahu kuweka sheria mbalimbali za mabahalia nakalibisha Naomi.

Wenu mdogo wenu jika.
 
Wanawake ni pasua kichwa hadi kaburini mzee, wewe pambana na hali yako
 
Back
Top Bottom