Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,392
- 8,295

na kuteleza kwenye matope ila ukirudi tu fimbo zinakusubiri sasa unaona unaonewa na una unashindwa ukijiuliza kwanini uchapwe wakati unajipa rahaDodoma au?Wamependeza hao, kuna maeneo yana vumbi yaani ikifika saa 12 watoto wote wanafanana na kumtambua mwanao hadi uwaogeshe wawili au watatu wanaofanana na mwanao ili waonekane vizuri![]()
![]()
Bila kiboko haogi mtuHapo sasa akiambiwa aende kuoga bado anatia utata anataka kulala hivohivo hahahahaha