Maisha ya uswahilini ovyo sana!!!

Kweli maendeleo tutaendelea kuyasikilzia kwa majiran zetu tu,yani nyie wenzetu muda wa kazi ndo mnautumia kugegedana?
 
Kwa nini upate shida? Kama hupendi maisha ya uswahili si utongoze na kutoka na wasichana wa huko kusiko na uswahili? AU kama unaona wa uswahilini huwezi kuwaacha, basi uwe unakwenda kugegedana naye Serena...

Kuwaacha wa uswahili nako kazi, kwa miuno ile... shughuri ipo, mara kacheza kiuno cha kiduku, mara cha mdundiko, mara cha lizombe, mara cha sindimba......hawa wengine wengine wanakata miuno kistaa.... na ustaa kwenye mgegedo hauhusiki hata kiduchu
 

si umnunulie sabuhufa jamani
mkigegedana mnaenda na beat pia nje
hawatoskia chochote zaidi ya mziki khaaa!!
 

mbona haueleweki,umesema umegegeda then unamalizia ukaondoka na ny*ge zako kivipi? kama ulikula cha kwanza ambacho ndo huwa kirefu ulishindwa nn kupata cha 2?
 

si umnunulie sabuhufa jamani
mkigegedana mnaenda na beat pia nje
hawatoskia chochote zaidi ya mziki khaaa!!
Tena akitaka kuuwa kabisa aweke mpenzi chokoleti ya mzee Yusuph na sauti ya juu kabisa. Na hivi inavyopendwa huko uswazi, watabaki wancheza tu
 
zile division sifuri zilikuwa ngapi vile? + f6 wamemwagwa.......
hao wote unafikiri wanafanya nini mchana huu?
mwenzangu kuna watu wenye raha zao ...
 
Tena akitaka kuuwa kabisa aweke mpenzi chokoleti ya mzee Yusuph na sauti ya juu kabisa. Na hivi inavyopendwa huko uswazi, watabaki wancheza tu

hahahaaaaaa!!afu wakimaliza
wanawawekea kifo ya remy ongala
watakomaje!!
 
Hahahahahahahaha....kwikwikwikwi....teh teh teh....aisee pole sana mkuu. Huko ndo uswaz take away!!! Muamishe mrembo haraka iwezekanavyo hko sio. hata wanga wapo hko.
 
Uswaz raha sana !
Af hapo nyuma dirishan kwa chini kuna mateja!
Ukifungua dirisha harufu ya ukakasi mixer haruf ya uchachuchachu! Af kama ungekuwa unaishi hapo ndo ungekoma dada anadondosha kanga koridon anabak mtupu af mpo wa2 tu....
 
Ukiona hivyo jua na wewe siyo mnaniniiiiii???

Ngoma imeanza kulalamika una muda wa kusikiliza story za wadaku wa nje??

Halafu kwani nyumba za wageni hazipo???
 

Hukuwa na HAMU wewe!! Yaani kelele za akina mama wa uswahilini zimekufanya uache kula kitu roho yako inapenda??? Hauko serious!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…