Maisha ya South Africa daaah!!

vipi kuhusu kufanya biashara ndogo ndogo? biashara zipi zinafaa kulingana na mazingira ya SA


Biashara ndogo ndogo kitambo zimewatoa sana watu mpaka kupata mafanikio ya ukweli kwenye maisha,mtu alikuwa anauza sweets,sigara masimba matunda matunda nk na alikuwa bongo anajenga fresh tu kama akili anazo,ila sasa hivi hizo biashara zimevamiwa kila mtu anafanya hizo,yaani hamna kitu sasa hivi
 
michezo hatari sanaaa hii! unaiba unaibiwa!? unagongewa manzi yako kbs au malaya tu wakisouth?
 
michezo hatari sanaaa hii! unaiba unaibiwa!? unagongewa manzi yako kbs au malaya tu wakisouth?


Malaya tu wa kwenye mabaa,yaani South ni kawaida siku za weekend mademu kibao viwanjani ila wengi wao hawana kitu mfukoni,sasa kinachofanyika na masela ni kuwanunulia mipombe na misosi then mida ikifika unasepa na mmoja wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…