ndio maisha ya watoto,ndugu zetu tafauti ya maisha ni kubwa mno,adi leo hii,kweli adi tufike kuna mwendo
uwa naskia uchungu sana,mara moja moja naendaga izi shule kujitolea tu kwa lolote