Duuu hiyo picha ya tatu huyo mwenye bluu ni ticha?:smile:
Hapo mkuu kwenye red kabila la wapi??Hujifunza kwa wakubwa. Huneda walimuona mwalimu akichomokea hapo juzi yake tu
duh hao wengine naona wanafanya pepa sipati picha jua linavyowapiga na hasa kama wamevaa viatu vya chachacha(utabikoma sa 8)
Hao ndo Kikwete kasema kufika 2015 wote wawe wanatumia komputer. Ukizingatia hapo darasa tu la kuwaweka ili wafanye paper ni shida, sasa komputer zitawekwa wapi? I am just curious.
You never know, inawezekana computer zitakazoletwa zinahitaji direct solar rays as a source of power, hivyo inabidi wanafunzi waanze kuzoea kukaa juani, ikianza mvua tu; likizo. :nono:
Ahahahahaaaah maisha ya utotoni enzi zile za shule yana raha zake.Nimeipenda hiyo ya vijamaa vinaruka ukuta inanikumbusha nikiwa rika hilo kuparamia kuta za nyumba kwenda kuiba mafyurisi uzunguni wale walioishi maeneo ya mbeya mjini watakuwa wanaelewa hiyo sehemu. Tatizo ilikuwa mbwa eh! bana eeh..
Nimeipenda hiyo ya vijamaa vinaruka ukuta inanikumbusha nikiwa rika hilo kuparamia kuta za nyumba kwenda kuiba mafyurisi uzunguni wale walioishi maeneo ya mbeya mjini watakuwa wanaelewa hiyo sehemu. Tatizo ilikuwa mbwa eh! bana eeh..
Halafu kingine hapo hakuna kupiga chabo, ukikwama inabidi uwe mpole.
chabo inapigwa kama kawa,kwa lugha ya ishara lkn,usione mtu anakuna kidevu ukadhani kinasha mwenzio anauliza swali hapo,ukiona mtu anajifanya kama kutoa nyama kwenye jino usidhani alikula sana nyama anatoa jibu hapo,ukiona mtu anajikuna paji la uso kwa ishara ya kichadema au anajikuna kalio la kushoto au la kulia n.k ujue chabo inaendelea hapo mkulu.
Halafu kingine hapo hakuna kupiga chabo, ukikwama inabidi uwe mpole.
hapana atakuwa ni Kiranja huyo