Labda sehemu zingine unafit .unafunika maubazazi yako...hongeraKwanza hata mimi hua namshangaa sana kwamba ilikuaje akakubali kuolewa na mwanaume kama mimi mwenye watoto 5 wa mamaz tofauti...π€
Kwani anawabeba mgongoni mwake hao watoto wako?Alizimikia flag kutoka "Ushilombo"!ππ€ͺKwanza hata mimi hua namshangaa sana kwamba ilikuaje akakubali kuolewa na mwanaume kama mimi mwenye watoto 5 wa mamaz tofauti...π€
Alimchukulia vile alivyo kijana wa mama mkwe wake.Labda sehemu zingine unafit .unafunika maubazazi yako...hongera
Nilisha acha tabia ya ubazazi mkuu....Labda sehemu zingine unafit .unafunika maubazazi yako...hongera
Safiii...Nilisha acha tabia ya ubazazi mkuu....
Kwa sababu gani iliyokukwaza ustaadh?Hakatai mtu hapa.Ni kukomaa tu.KATAA NDOA
Malezi sio jambo rahisi mkuu.....πKwani anawabeba mgongoni mwake hao watoto wako?Alizimikia flag kutoka "Ushilombo"!ππ€ͺ
MUULIZE Khamis Luwonga, yuko lupango ananyia ndooKwa sababu gani iliyokukwaza ustaadh?Hakatai mtu hapa.Ni kukomaa tu.
Kwakweli alinirekebisha sana hadi niliamua kuacha mambo yooote na nikabakiza kuvuta bange na kupombeka tu...πAlimchukulia vile alivyo kijana wa mama mkwe wake.
Swadaktaa!Washukuriwe sana akina mama wa aina hiyo.Malezi sio jambo rahisi mkuu.....π
Yaani ukimpata mwanamke anae kusaidia kulea wanao with one heart, hakika unapaswa kumshukuru Mungu
Hizo ni ndoano mkuu....Aisee!Kwa hiyo siku hizi wanandoa wanaishi kama wapo vitani?Wanaviziana.Ukiwahiwa kwisha habari yako.Kush-nehi ghaega!