Maisha ya saiv tofaut na zaman

Maisha ya saiv tofaut na zaman

kama wa themanini wanaitwa vikongwe wa sabini wataitwaje? Hawa watoto wa sasa wanazeesha watu haraka sana. Kijana wa miaka 40 anaitwa mzee!
Nimesikitika sana mkuu.

Nilijua mzee mwenye umri mdogo kabisa anaanzia 50+ ila sasa nashangazwa na huyu wa foti kuitwa kikongwe

Kwa nijuavyo mimi, kikongwe atakuwa na zaidi ya 80 kuendelea. Maana sio kila mzee ni kikongwe
 
Back
Top Bottom