Maisha ya Rwanda

Maisha ya Rwanda

Twin_Kids

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
4,032
Reaction score
5,973
1746176282641.png

Na haya, ni sehemu ya maisha ya wanyarwanda. Ukiwa na flat TV,hata kama ni 15", wewe ni mlengwa wa kutembelewa na hawa jama wanaochimba na kutoboa nyumba. Bora huyu alikuwa na tofari imara kidogo,hata ikiwa ukutani na blacket lake, itaondoka tuuuu. Je, wale waliojengea tofari za udongo?

Cha ajabu, wezi hawa,hata ukifanikiwa kumkamata, ukimuua, unafungwa, ukimjeruhi, unafungwa. Wizi utaisha?
 
Back
Top Bottom