Maisha ya Preta Yaeda Chini

Ama kweli maisha yanabadilika mara moja kwa sisi wanadamu hasa Watanzania!
Pole sana Preta wetu kwani ndivyo maisha yalivyo kwetu Watanzania! Ila tutafika tu ingali tutakuwa tumechoka sana!
 
Hata mimi nimemwona

oi hivi ukilala bila kunawa muguu ukiamka asubuhi inakuwaje vile!

Huu Udongo upo tofauti na ule wa njiro ukitembea unanatia kwenye viatu mtu unarefuka ghafla kama umevaa raizoni.... unakung'uta then unaendelea na safari hivyo hivyo hadi ufike safari yako. nakumbuka na ule udongo wa Usa River
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…