Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,481
Mwaka jana Obama, Putin, Malkia Elizabeti na Cameron wote walikwenda kukutana na Papa Francis Vatican wakipishana kwa vipindi vifupi. Nilijiuliza hawa wote viongozi wa mataifa makubwa duniani yasiyo ya kikatoliki walifata nini huko? Nakubaliana nawe, ule mwamba Petro uliosimikwa na Yesu hakuna nguvu za kuuvunja hapa duniani.
Mkuu picha haijaundwa. Huyo pichani ni Pope Benedict, sijui kwanini wameileta picha yake wakati anayejadiliwa ni mwingine. Yeye alikuwa na utaratibu wa kuangalia TV kila siku jioni muda fulani. Ninayo documentary ya maisha yake kabla na baada ya kuchaguliwa kuwa papa. Kwa upande mwingine, Papa Francis ni tofauti kabisa na wenzake waliomtangulia.
Nakushauri, upatapo muda uwe unasoma Biblia hasa kitabu cha ufunuo. Tuko kwenye nyakati za mwisho mkuu wangu, Kristo shurti apingwe kwa nguvu zote.
Pole sana ndg yangu tulikuwa huko uliko wewe tunayajua yote sasa tuko huru sio mapokeo tena kama zamani
mods mnamatatizo, yaani wakiandika wao sawa, tukiandika sisi mnafuta hii si sawa hata kidogo.
futeni basi alichoandika huyu ------.
Usanii wa picha muufanye ninyi halafu baadaye mseme Vatican,Jamani mwogopeni Mungu.
Mwaka jana Obama, Putin, Malkia Elizabeti na Cameron wote walikwenda kukutana na Papa Francis Vatican wakipishana kwa vipindi vifupi. Nilijiuliza hawa wote viongozi wa mataifa makubwa duniani yasiyo ya kikatoliki walifata nini huko? Nakubaliana nawe, ule mwamba Petro uliosimikwa na Yesu hakuna nguvu za kuuvunja hapa duniani.
kwanza kabisa wanaenda kumtembelea papa kwa sababu papa ni raisi wa vatican(ni raisi mwenzao).
pia wengi wanamweshimu kwa sababu kwa yeye ndio kiongozi wa dola ya rumi( chini ya mwamvuli wa dini).
papacy authority ndio ile pembe ndogo inayozungumziwa kwenye biblia kitabu cha daniel sura ya saba.
naliheshimu kanisa lakini pale penye ukweli lakini tuseme ukweli.
imeandikwa "..naye atanena maneno kinyume chake aliye juu..." aliyejuu ni Mungu na kunena kinyume chake aliye juu ni kunena kinyume na Mungu.
nasema hivyo kwa sababu mamlaka ya kanisa chini ya papa imehusika sana kubadili neno la Mungu, mfano;
1.biblia za zamani zinazotumiwa na waroma kulikuwa na amri ya pili kati ya zile kumi za Mungu inayokataza kujifanyia sanamu na kuziabudu, lakini hivi sasa kanisa limeondoa amri hiyo na haipo kabisa kwenye biblia.... Huku ni kunena kinyume na Mungu.
2.imeandikwa aaminiye na kubatizwa ataokoka (mrk 16:16) lakink nashangaa kanisani wanabatiza watoto wachanga tena wasiojua kitu wala hawajaamini bado... ni kunena kinyume na Mungu.
Hivyo kama papacy authority ndio imehusika hapo basi ndio hiyohiyo inayotajwa kwenye biblia kuwa itakuwa na mamlaka makubwa kubwa na ndio kama tunavyoona hivi sasa,,,, so siwezi kushangaa hata kidogo nionapo viongozi wakubwa na mataifa makubwa wakimheshimu papa..
Huyo ni mbuzi kabisa. Tumetaja kati ya waliomtembelea papa kuwa ni pamoja na malikia Elizabeti wa Uingereza ambaye ndiye mkuu wa kanisa la Anglikana. Sasa huyu mbuzi ataka kujifanya kuvifahamu hivyo vitabu vya Daniel kuliko huyo mkuu wa kanisa la Anglikana duniani?Kweli wewe hauyaelewi maandiko kabisaa! ,Na km unayaelewa halafi unasema Ushuzi km huu basi jua Wewe si mtu wa kwanza kulikashifu Kanisa ;Tena nakwambia wewe utakuwa unatumikishwa na Nguvu za Kuzimu kukashifu Watumishi wa Mungu,lkn wewe ni takataka tu mbele ya Mungu hivyo hautafanikiwa ktk mpango wako,na Yesu Mwenyewe alilijua hilo rejea Mathayo 16:13-19,Luka 22:31-32;Mkuu usiishie hapo soma pia Mathayo 5:11-12,10:22;1Petro 4:14;2:20-21.Ndiyo maana Kanisa Katoliki halibabaiki wala kubabaishwa na maneno yenu mnayobwabwaja maana wewe si Wa kwanza walikuwepo Makaisari walilitesa Kanisa vilivyo pamoja na Watumishi wake,Walikuwepo Wazushi waliotumia kinyume baadhi ya vifungu vya Biblia ili kuhalalisha UASI wao km ambavyo wewe umefanya;Yaani ninyi ni watu wa Ajabu sana Hivi Papa kupendwa na watu na Kuheshimiwa na viongozi wakubwa wa Dunia imekuwa nongwa??,Kwa hiyo angechukiwa na asingeliheshimiwa na viongozi wakuu Mataifa makubwa ndo mngesema huyo sawasawa siyo?,Halafu inaonyesha hauna uelewa kabisa juu Vitabu vya Unabii km cha Nabii Daniel,Hata Kitabu cha Ufunuo huwa kinawachanganya wengi km wewe,huishia kusema hapa anayezungumziwa ni Kanisa katoliki na Papa jambolinalodhihirisha Uelewa finyu mlio nao kuhusu Maandiko ya KIAPOLIKALIPTIKO ,Na mtazidi kuchanganyikiwa sana,Mwombeni sana Roho Mtakatifu awaongoze ktk kufanya tafakari ya Maandiko Matakatifu.
kama siye ni wewe !!Huyu sio Pope Francis
kama siye ni wewe !!
mkuu CHAULA RICH
Kwa karne ya sasa ya utandawazi hakuna hao watu tena......
key word "WALIOWAHI"...... sasa hivi hawapo tena watu wanamna hii....
Hizi ni story tu! haiwezekani mtu maisha yote usitoke nje! ..... kuna kitu kinaitwa VITAMIN D ....
kumbe wanatoka!
kama siye ni wewe !!
nimewahi kusoma mahali fulani kwenye secret facts za pope francis, wanasema yeye hutumia bangi kama dawa, kwa mvuta bangi inawezekana kabisa kutoangalia tv kwasababu unakuwa na vitu vingi vya kufikiria!
Huyo ni mbuzi kabisa. Tumetaja kati ya waliomtembelea papa kuwa ni pamoja na malikia Elizabeti wa Uingereza ambaye ndiye mkuu wa kanisa la Anglikana. Sasa huyu mbuzi ataka kujifanya kuvifahamu hivyo vitabu vya Daniel kuliko huyo mkuu wa kanisa la Anglikana duniani?
Muongo huyo mzee.
hizo picha wewe ndio ulikuwa cameraman!?We lzm ukatae manake ukikubali itabidi Ukatoliki Uukimbie.
Bahati yako nimefunga lkn ningekuletea Picha za ajabu hapa za Papa.
We lzm ukatae manake ukikubali itabidi Ukatoliki Uukimbie.
Bahati yako nimefunga lkn ningekuletea Picha za ajabu hapa za Papa.