Wewe kama ni mshabiki wa Timu, uko tayari kusimuliwa, yaani kupewa matokeo?
Kusimuliwa na kupewa matokeo ni vitu viwili tofauti.Kusimuliwa unaelezwa pia mechi ilivyokuwa.Sasa badala ya kumsumbua mtu akufanyie hiyo kazi kila siku kwanin usiingie goal.com faster ukacheck news kisha ukaendelea na yako.Hii ya pili ingekuwa nzuri zaidi maana haiwasumbui wengine kwa starehe zako.
Sasa kama anaweza kufuatilia habari za mpira kwa kusimuliwa maana yake kuna watu watakuwa japo wapo Italia lakini wana kazi ya kufuatilia soka ya Argentina ili wamsimulie Papa, sasa kama ana hizo stimu za kufuatilia kinachoendelea kwenye soka kwanini badala ya kuwasumbua hao watu si angeswitch tu on mara moja na kuangalia mwenyewe?nafikiri tu kwa sauti.
Ni papa wa majini au nchi kavu
Mkuu maswala ya Imani ni complecated sana, huyo Pope ameacha baada ya kuona labda hayo mambo yanafanya asiwe serious na Ucha Mungu. Kahamua tu, hata mwingine aneweza akahamua kufunga (kuacha kula) ili awe karibu na Mungu wake katika maombi
Acha dharau!,dharau haifai nani anaidharau au kubeza Imani yako?,basi tuheshimiane,heshima ni kitu bora sana,hata km Kitu fulani au Imani fulani hauiamini basi waache wanaoamini waamini wala usianze dharau na kejeli,tukisema tuanze kudharauliana hakika hatutafika mbali.
nimeongelea ishu ya watawa. Halafu vichwa maandazi kama nyinyi mbona mnapendsa kutukana mtu mkitofaautiana misimamo? Ungekuwa na akli kutuzidi wote usingekuwa unatukana watu mliotofoatuiana hojaWewe ujitambui, kwani Umeambiwa Papa ameacha kuhudumia watu?. Lakini kwani wewe uwezi ukahamua kuacha kuangalia Tv na Internet?, Mbona jamii za wafugaji mpaka leo vijijini hawana Tv hata Internet na Wanaishi?
Acha kupotosha umma wewe, neno ukristo wewe umelitoa wapi, ebu tueleze hapa, au mnafuata mkumbo tu.
Wewe unashangaa Yesu/Nabii Isah kuwa na mzazi mmoja? mbona hushangai Nabii Adam ambaye alikuwa hana baba wa mama.
cha kusikitisha pesa inayowatunza inatokana na watu wanaofanya kazi kwenye dunia ambayo hawaitaki. Sielewi logic.
mbona una akili sana we jamaa una uhakika hatuna udugu?
Hata hivyo Post hii nilifuta.
Nakubaliana na wewe kuwa kuna maajabu mengi ya dunia, lakini nataka nikwambie kuwa wakati Yesu anakuja katika Mwili ilizoeleka kuwa mwanadamu utokea baada Mume na Mke kuzaa, Sasa ikawa ni maajabu makubwa Yesu kuja kwa Style yake.
Lakini kama unakataa la Yesu kuzaliwa na mzazi mmoja, basi jiulize ni Mwanadamui gani amewahi kutembea juu ya Maji, Ni mwanadamu gani kafufua wafu. Pia jiulize ni mwanadamu gani huyu ambae Biblia na Quran vinasema alirudi mbinguni direct hadi leo anaishi. Pole sana, tumia dakika 10 kufikiria maajabu haya. Lakini Bibilia inasema Yesu yuko Upande wa kulia kwa Baba (Mungu wetu), Quran inasema Yesu anaongea na Mungu direct. Hakika Yesu ni Jiwe la Msingi lililokataliwa na baadhi ya wanadamu, lakini utukufu wake mtauona pale Mwana wa Adamu atakapokuwa anashuka katika Mawingu akiwa katika utukufu wake, ameeeen
Wewe ndiyo mjinga!,ktk Kanisa Katoliki hili jambo mbona ni la Kawaida!!,Wapo watu ambao huwa wanaamua kuishi maisha ya Upweke kwaajili ya Kujitafakarisha juu ya mambo yanayomhusu Mungu,na hii huwa ni maisha yao yote.Tena wapo walio wahi kukaa mapangoni kwaajili ya kujitenga na Malimwengu ili wasiingie ktk vishawishi vya kutenda dhambi watu hao waliitwa WAEREMITE,huko walisoma neno la Mungu,Tafakari na Sala tu!,Nenda Songea kule kuna Watawa wanaitwa WAKILALA,hao ndio hukaa ndani tu pasipo kutoka nje huko hufanya SALA na Kutafakari neno la Mungu,wao si watu wa kuchangamana na malimwengu,Hata ndugu ukienda kumtembelea mnaonana naye dirishani tu!,Hawa hutoka nje mara mojamoja tu!,Wanafanya hivi kwaajili ya kujinyima Starehe na Anasa za dunia.
Hata pale Itahwa Parish, Bukoba wapo wa CLALA wanakaa ndani ya uzio mkubwa na hawatoki nje. Kila kitu chao kimo humo. Wanalima wanafuga na kula wao. Mara chache sana hutoka humu kwa shughuli maalumu tu na sio kwenda eti dukani!
mkuu ngoja nikuibie siri ila usimwambie mtu nakuomba ujue hawa masista wasiotoka ispokua kwa shughuli maalum nishawahi kuwaona wametoka ilikua pasaka moja saa tano tano hivi usiku wakaenda hoteli moja kaunta private kabsa ghorofani ikawa kila sista amekaa chemba ndogo na padri kulikuepo na jozi saba za hawa watu au ndo shughuli maalum zenyewe izo? usiniombe ushahidi wa picha,, sitokujibu
Unataka kuwadhalilisha tu! Nawajua sana that will never happen to CLALANS, Hawa wengine inawezakana???? lakini nalo hilo sidhani, wakiwa wamevaa shela? Gauni za kawaida??????
Matendo 11:26
26 hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia.
1Petro 4:16
16 Lakini ikiwa kwa sababu ni Mkristo asione haya, bali amtukuze Mungu katika jina hilo.
Mkuu mbona umepaniki sana?Unataka kusema Fransis pamoja na upapa wake sio mwanadamu?
Ni 100% flesh and blood like you na ana hulka zake...hiyo PR ya Vatican imeamua kulitangaza ili kumpa "image" kua ana uweza wa kimungu kivile...either ni kweli au si kweli,alikua ana haja gani ya kuweka hadharani?Ili iweje hasa?PR tu
Sijaona cha ajabu hapo,haimfanyi awe superior being ...kuna wanaofanya ten times fold of that ila huwezi wasikia wanapolitiki kivilee
cha kusikitisha pesa inayowatunza inatokana na watu wanaofanya kazi kwenye dunia ambayo hawaitaki. Sielewi logic.
Hata hivyo Post hii nilifuta.
Nakubaliana na wewe kuwa kuna maajabu mengi ya dunia, lakini nataka nikwambie kuwa wakati Yesu anakuja katika Mwili ilizoeleka kuwa mwanadamu utokea baada Mume na Mke kuzaa, Sasa ikawa ni maajabu makubwa Yesu kuja kwa Style yake.
Lakini kama unakataa la Yesu kuzaliwa na mzazi mmoja, basi jiulize ni Mwanadamui gani amewahi kutembea juu ya Maji, Ni mwanadamu gani kafufua wafu. Pia jiulize ni mwanadamu gani huyu ambae Biblia na Quran vinasema alirudi mbinguni direct hadi leo anaishi. Pole sana, tumia dakika 10 kufikiria maajabu haya. Lakini Bibilia inasema Yesu yuko Upande wa kulia kwa Baba (Mungu wetu), Quran inasema Yesu anaongea na Mungu direct. Hakika Yesu ni Jiwe la Msingi lililokataliwa na baadhi ya wanadamu, lakini utukufu wake mtauona pale Mwana wa Adamu atakapokuwa anashuka katika Mawingu akiwa katika utukufu wake, ameeeen
vipi mkuu umepaniki niwaletee mchanga mtwangane na huyu jamaa??