




endelea kushusha nondoNorway ni moja ya nchi bora kabisa duniani! Achana na masuala ya GDP; majiji na maviwanda makubwa, mavyuo yenye sifa n.k lakini linapokuja suala la maisha kwa majority; hata Marekani inasubiri!
Kinyume na US, Norway inabebwa sana na population ndogo huku ikiwa na utajiri mkubwa wa asili kv gas bila kusahau man-made wealth!
Norway ni Qatar ya Ulaya!
Marekani haisubiri Norway hata siku moja. Wamarekani ukiwafanya waishi kama Norway watakuua kesho yake.Norway ni moja ya nchi bora kabisa duniani! Achana na masuala ya GDP; majiji na maviwanda makubwa, mavyuo yenye sifa n.k lakini linapokuja suala la maisha kwa majority; hata Marekani inasubiri!
Kinyume na US, Norway inabebwa sana na population ndogo huku ikiwa na utajiri mkubwa wa asili kv gas bila kusahau man-made wealth!
Norway ni Qatar ya Ulaya!
Sina haja ya kubishana manake hamkawagi kutoa mifano ya akina Mayweather wakati mimi nazungumzia ustawi wa watu at large!Marekani haisubiri Norway hata siku moja. Wamarekani ukiwafanya waishi kama Norway watakuua kesho yake.
Nasema hivi nikiwa muumini mkubwa wa Socialism, But US citizens never aspired to live like Europeans, they hate it!
Kweli kabisaa mkuu...ww nenda kaibe ufungwe ujionee...
Hata mimi nimejikuta natamaniDuh! Unatamani uwe mfugwa Norway lakini sio huru Tanzania???
Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app





Huna haja ya kubisha kwa sababu kuna kitu kinaitwa pursuit of happiness/success.Sina haja ya kubishana manake hamkawagi kutoa mifano ya akina Mayweather wakati mimi nazungumzia ustawi wa watu at large!
Hizo Scandinavian countries ziko mbali sana mkuu.
.
.
.
Ninatamani ningekuwa nafanya kazi huko. Hakuna rushwa, wananchi wanashiriki kwenye maamuzi ya taasisi zote, vitu vinafanyika kwa uwazi, wanajivunia kupanua huduma za/kwa jamii (serikali haifanyi kama vile ni hisani kuwa na elimu bure kwa mfano).
Ila naamini siku moja Tanzania itafika hapa. Hata kama sitaiona mimi, mwanangu ataiishi. Ndiyo maana siondoki bongo.


kweli bongo itafikia huko wakati kizazi chetu hiki kimepita,.ila nchi za Scandinavia zimepiga hatua karibia kila nyanja,.hata mwanafunzi wa kule ana uhakika wa kusoma na uhakika wa kuishi maisha bora mara tuu baadae ya kumaliza masomo yake,.Natamani mkemia mkuu akufuatilie ili akupime mkojo halafu uhamiaji wakuitishe vyeti vya kuanzia babu yako wa nne na makaburi yao ili kujiridhishaHata mimi nimejikuta natamani![]()
Marekani haisubiri Norway hata siku moja. Wamarekani ukiwafanya waishi kama Norway watakuua kesho yake.
Nasema hivi nikiwa muumini mkubwa wa Socialism, But US citizens never aspired to live like Europeans, they hate it!
Kwa hili nakubaliana nalo.Nadhani hoja inayoongelewa hapa ni PRISON SYSTEMS.
Kwa hoja hiyo Marekani inasubiri sana kwa NORWAY. Wanatamani nchi yao ibadilishe mfumo wa uendeshaji wa magereza yao hata leo. Tatizo kubwa ni MTU PEKEE ANAYEKUBALI MABADILIKO KIRAHISI NI MTOTO MCHAFU. Hata pale ambapo tunajua tumekosea, binadamu ni hulka yetu kuyapinga mabadiliko, kwa kuhofia the uncertain. Hapo pamoja na wale wanaonufaika na the existing system wakiweka nguvu zao basi inaonekana mabadiliko hayana manufaa au hayatawezakana.
Mkuu, katika suala ambalo kwa Wamarekani wa vyama vyote wakikaa wanaweza kuongea na kukubaliana, basi ni suala la kubadilisha mfumo wa uendeshaji wa maegereza yao. Nimeona documentary nyingi wakijaribu kuimplement kidogo kidogo (kwa kuiga hao Wanorway). mfano mzuri ni gereza notorious la Pennsylvania. Pia pitia link ninayokuambatanishia hapa uone jinsi gani wanayatamani hayo mabadiliko hata kesho.
Link: 60 Minutes Presents: Behind Bars
Kweli kabisaa mkuu...ww nenda kaibe ufungwe ujionee...
Huna haja ya kubisha kwa sababu kuna kitu kinaitwa pursuit of happiness/success.
It's unlimited in US, but it's capped in Socialist Europe and that's a problem. But generally speaking wananchi wengi dunia hii watapenda kuishi Norway. Ila wananchi wa nchi kama US au Saudi au wakimbizi wengi wa dunia hii hupenda sana US au England, not Norway au Sweden ingawa ni rahisi zaidi.
Nadhani tunatofautiana nini hasa kila mmoja analenga!Huna haja ya kubisha kwa sababu kuna kitu kinaitwa pursuit of happiness/success.
It's unlimited in US, but it's capped in Socialist Europe and that's a problem. But generally speaking wananchi wengi dunia hii watapenda kuishi Norway. Ila wananchi wa nchi kama US au Saudi au wakimbizi wengi wa dunia hii hupenda sana US au England, not Norway au Sweden ingawa ni rahisi zaidi.
Flow ya discussion yangu ni simple.Sijapata flow ya discussion yako.
Ni Mmarekani gani umemuuliza akasema hatamani kuishi Norway kwa mfano? au ni research gani imefanywa ikakupa conclusion hiyo? Ningependa kuisoma nisiwe mbishaji tu.