Zesh uzinzi ni uzinzi bila kujali jinsia gani imefanya lakini mwanamke akizini hata familia yao huwa inamchukia wanasema umetutukanisha, uzinzi wa mwanamke katka jamii unachafua hali ya hewa japo kosa ni lile lile, moja ndiomaana katika maelezo ya mwanzo sikusita kutaja udhaifu wangu kama mwanaume nikitambua kosa ni ilo ilo moja lakini wanaume wanatoka nje akili yao iko juu ya familia zao, mwanamke akitoka anaama kabisa kiakili wao kusex wanaamini ndo mapenzi wakati mwanaume sex ni starehe kama kunywa pombe tu haithiri chochote katika namna yake ya kufikiri labda alishwe limbwata,. Hilo ndo hufanya wanaume tushindwe kumsamehe mwanamke mzinifu.Ila nyinyi kutoka nje ya ndoa sio dharau???? Kweli Mkuki kwa nguruwe......... Tena mlivyo na wazimu huwa mnatoka na wanawake wa ajabuajabu, mpaka mtu unajiuliza huyu kwa mkewe kakosa nini
Piga chini, kamata kifaa ingine, wanawake n wengi!Kusamehe inawezekana ila mwanamke akishaonja nje ni kama laana fulan inamuingia huwa hatulii na kuacha, linakuwa zoea
Maneno yako ni mazito sana na yanahitaji kufikiriwa kwa utulivu sana, wakipoteza iman wenzetu huwa wanapotea jumla jumla na wakipenda wanapenda jumla hawabakishi.. Acha nifikirie wazo lako lina maana pana sanaHuo n mtihani....naomba Hilo jarbu lisinikute maana mm n kicheche hatari.....daaaaah.....huo n mtihani.....ila ingekuwa n mm nadhan ningemtimua tu na kuachana naye hlf ningetafuta mwanamke mwingine aliyetulia ambaye hajui tabia zangu mbaya za nyuma hlf nikaanza rasmi maisha ya uaminifu nayy...
Nasema hv kwa sababu hapo ulipo hata ukimuimba msamaha Wala hatakaa aamin kwamba umeacha ufuska na hata ikitikea umepata dharura atakuwa anawaza tu uko kwa michepuko kumbe sio bali n kutokana na tabia yako ya awali....so kiukweli mm hapo naachana nae then natafuta asiyenijua tabia naoa....bhc
Tunaogopa kulea mtoto siyo wa kwetu. Mwanaume akicheat habebi ujauzito ila nyinyi mkicheat na kubeba mimba unamsingizia mume wako yaani majukumu ya mimba unampa mume wako na siyo mchepuko. Hapo ndiyo huwa tunaona kama tumetendwa sana.Ila nyinyi kutoka nje ya ndoa sio dharau???? Kweli Mkuki kwa nguruwe......... Tena mlivyo na wazimu huwa mnatoka na wanawake wa ajabuajabu, mpaka mtu unajiuliza huyu kwa mkewe kakosa nini
Kwa hali hii bora angekimbia maana moto unaenda kuzima yeye kauwasha upya, ndoa haitamaniki tena hakuna kuaminiana apo dawa naona nikuanza upya kila mtu akiwa kivyake, labda italeta unafuu au mnaonaje!!? Tatizo wanaume hatunaga pa kusemea issue km hizi ndiomaana wanaume wanaongoza kwa kujiua kuliko wanawake, kwani hata wakukupa ushauri mala nyingi huishia kukushangaa na kukuzomea wachache wanaostahimili hali hii.Inaonekana huenda ulikuwa unacheat mpaka unajisahau sana. Women know's that men cheat lkn smart men keep that side low key wasigundulike shida ni unapoonesha waziwazi.Unamkasirikia mtu kwa kosa lile lile ulilotenda wewe? .Tena afadhali huyo amekubali kuvumilia wengine hukimbia kuogopa magonjwa. Forgive and start afresh......
Nikweli kakaTunaogopa kulea mtoto siyo wa kwetu. Mwanaume akicheat habebi ujauzito ila nyinyi mkicheat na kubeba mimba unamsingizia mume wako yaani majukumu ya mimba unampa mume wako na siyo mchepuko. Hapo ndiyo huwa tunaona kama tumetendwa sana.
Kumbe mnajua? Sasa hivi kuna ingizo jipya. Form 4 wamemaliza mitihani wapo mtaani na hivi hawa mabinti wamenona sana. Kila siku vinazaliwa vyombo vipya. Ngoja nikajichukulie cha form 4 viwili maana sasa hivi ile miaka 30 jela haipo (siyo wanafunzi tena)Women know's that men cheat
Kuanza upya vipi kuhusu watoto? Malezi ya watoto (kutoka kwa mama wa kambo?).Niassume ni mkristo pia ukifa utazikwa kama mbwa bila hata ya misa!Things are not simple as they seem.Komaa wewe ni mwanaume wewe ndio msingi wa ndoa,vitu vitakaa sawa ukitaka!Kwa hali hii bora angekimbia maana moto unaenda kuzima yeye kauwasha upya, ndoa haitamaniki tena hakuna kuaminiana apo dawa naona nikuanza upya kila mtu akiwa kivyake, labda italeta unafuu au mnaonaje!!? Tatizo wanaume hatunaga pa kusemea issue km hizi ndiomaana wanaume wanaongoza kwa kujiua kuliko wanawake, kwani hata wakukupa ushauri mala nyingi huishia kukushangaa na kukuzomea wachache wanaostahimili hali hii.
Haahhahh chukua tu uende na kichwa na miguu mwili mzima usahau homeKumbe mnajua? Sasa hivi kuna ingizo jipya. Form 4 wamemaliza mitihani wapo mtaani na hivi hawa mabinti wamenona sana. Kila siku vinazaliwa vyombo vipya. Ngoja nikajichukulie cha form 4 viwili maana sasa hivi ile miaka 30 jela haipo (siyo wanafunzi tena)