Vile hauna hela then una Force ndoaNaishi na mzazi mwenzangu nahisi hana nyota ya mafanikio nifanyeje kila ninachofanya sifanikiwi kabla ya kuwa nae mambo yalikuwa hayakwami naombeni ushauri.
Unavyoendelea kuishi kwa kuamini mambo ya nyota hali itaendelea kuwa hivyo hivyo au zaidi., badilika achana na mambo hayo hayana maana yeyote, fanya kazi ujenge familia yakoNaishi na mzazi mwenzangu nahisi hana nyota ya mafanikio nifanyeje kila ninachofanya sifanikiwi kabla ya kuwa nae mambo yalikuwa hayakwami naombeni ushauri.
Ushaenda kwa mganga tayari kakudanganya kuwa nyota yako imefifishwaa. Jombaaa komaaa maisha ya ndoa si vitu ila jali utu!!!!Naishi na mzazi mwenzangu nahisi hana nyota ya mafanikio nifanyeje kila ninachofanya sifanikiwi kabla ya kuwa nae mambo yalikuwa hayakwami naombeni ushauri.
We jamaa una ugonjwa wa kisaikolojia kitaalamu unaitwa high-popoma" wai kwa dkt gentamycine popoma alietukuka.Naona ni mzigo mzito
Kwanza hauna adabu unaingia katika balaza la wazee wa busara kama sisi bila salamu na umevaa mandala yako.... Hiyo ni kukosa adabu Shuwain.Naishi na mzazi mwenzangu nahisi hana nyota ya mafanikio nifanyeje kila ninachofanya sifanikiwi kabla ya kuwa nae mambo yalikuwa hayakwami naombeni ushauri.
Unamatatizo mamkubwa sana...Naona ni mzigo mzito
Ni uchawi umeanza ama ni nini??Naishi na mzazi mwenzangu nahisi hana nyota ya mafanikio nifanyeje kila ninachofanya sifanikiwi kabla ya kuwa nae mambo yalikuwa hayakwami naombeni ushauri.