Mungu Mweusi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 1,474
- 1,086
Wadau mimi ni mtumishi wa umma sasa nimehamishiwa jiji la Mwanza nina mke na mtoto na mfanyakazi. Ishu ni kwamba ni sehemu gani naweza kupata nyumba au appartiment kwa bei nzuri na gharama imekaaje kama napanga nyumba nzima.