Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
- Thread starter
-
- #41
Walikua wanachapiwa pia, tena ki roho safi kabisa na inawezekana kwa makubaliano fulani... kama vile kupata mtoto nk!inabidi kuwauliza wazee wa zamani waliwezaje......
Roho inataka mwili haupo tayari!Yani Unaibariki Huku Roho Inakuuma Au Sio!!
Bonge moja la ushauri na ndio suluhisho sahihi kwa maoni yangu!Lakini pamoja na hayo bado tuna nafasi ya kuendelea kupata vitu vya asili..ingawa sasa ukionekana unakula hvyo wanakuona kama mshamba......
Very true!Kujipanga tuu kuwekeza mapemaaa kwa ajil ya Feture kuepuka Starehe zisizo na msingi
Haaaaaaaaaaaa .... big up mkuu!Post nzuri jana nimemfumua mtoto wa NIT bao 5 tuu niko vizuri
Upo sahihi!Me Nadhani Kwa Walio Vijijini Hilo Halina Tatizo Sana Ila Issue Ipo Kwa Waishio Mjini.
ufanyie kazi..............Bonge moja la ushauri na ndio suluhisho sahihi kwa maoni yangu!
kama kupata mtoto ni ishu nyingine....ni kwamba hawezi kupata mtoto na si kwamba mtalimbo umelala dorooWalikua wanachapiwa pia, tena ki roho safi kabisa na inawezekana kwa makubaliano fulani... kama vile kupata mtoto nk!
Kumbuka picha haijasema kuwa huwezi kuzaa!!! Bali ile pulling ya picha #1 na #2 hutakuwa nazo!!!....mzee natumaini atakuwa kwenye picha inayomuhusu.Machache ye anauwezo wa kupanga ale nini ili aishi ki asilia, chochote anachotaka kula katika muda sahihi anapata, sasa sie tusio na machaguo, yaani kama ni bagger ni hilo hilo au broiler au chips ndo utaishia kwenye cycle hiyo tu hamna jinsi!
Duh!! Harafu Mwisho Wa Siku Unaishia Tu Kuweka Mkono Juu Ya "K".
Mzee kwenye pulling vyakula pia vinahusika pakubwa tu!Kumbuka picha haijasema kuwa huwezi kuzaa!!! Bali ile pulling ya picha #1 na #2 hutakuwa nazo!!!....mzee natumaini atakuwa kwenye picha inayomuhusu.
Nimekusoma mkuu.. nilitaka kuteleza!kama kupata mtoto ni ishu nyingine....ni kwamba hawezi kupata mtoto na si kwamba mtalimbo umelala doroo
Kabisa... ndo maisha!Inauma jamani ila hakuna jinsi
kwa hiyo mi ambaye niko over 40 ... dah!Kabisa... ndo maisha!
....tuseme wife wake ndo anajua anaangukia wapi kwenye hizo picha,....ila ukiwa na pesa unaweza ukaambiwa uko on fire kuuumbe........I think you know what I mean.Mzee kwenye pulling vyakula pia vinahusika pakubwa tu!
Nimekusoma kaka!....tuseme wife wake ndo anajua anaangukia wapi kwenye hizo picha,....ila ukiwa na pesa unaweza ukaambiwa uko on fire kuuumbe........I think you know what I mean.
13-31Picha namba moja.