Maisha ya mwanaume bila mwanamke hayajakamilika

Naunga mkono hoja, Lazima mguu wa tatu ufanye kazi aliyotumwa hapa duniani
 
Akili za genye hizi, Nicholaus tesla hakuwahi kuoa mpaka anafariki na alifanya mambo ya msingi sana.
Dah....Hakuna binadamu aliyefanya jambo la maana duniani akiwa na mke....wengi walifelishwa na wanawake..Adam(Eva), Samson(Delila) nk.....Ndiyo maana Yesu, Newton nk walikufa wakiwa "bikra" 🤣 🤣 🤣
 
ha ha ha ha
 
Absolutely, ni suala la kuimaster akili yako tu, free minds ndo zinaongoza kuwaza ngono. Jaribu kuikeep busy akili yako unaweza kujikuta umesahau hata kutongoza
 
Kutoiwaza ni kuinyima nafsi furaha
 
Nyie mna kitu kikubwa sana cha kutuelimisha, fungueni uzi wa kutuelimisha juu ya hii dhana na jinsi ya kuitekeleza, maana anguko la mwana adam liko kwenye mtego huo tu wa kuwaza mapenzi. Mnaonaje mkianzisha darasa jipya kabisa hapa.
Dah....Hakuna binadamu aliyefanya jambo la maana duniani akiwa na mke....wengi walifelishwa na wanawake..Adam(Eva), Samson(Delila) nk.....Ndiyo maana Yesu, Newton nk walikufa wakiwa "bikra" 🤣 🤣 🤣
Absolutely, ni suala la kuimaster akili yako tu, free minds ndo zinaongoza kuwaza ngono. Jaribu kuikeep busy akili yako unaweza kujikuta umesahau hata kutongoza
Tunatofautiana fantasies mkuu.
 
Back
Top Bottom