Qulfayaqul JF-Expert Member Joined Apr 10, 2008 Posts 480 Reaction score 84 Sep 13, 2012 #21 na hata tanga pia ipo hii, ila kwa jinsi alivyo strong nadhani kweli this from sukuma land/nyamwezi land
na hata tanga pia ipo hii, ila kwa jinsi alivyo strong nadhani kweli this from sukuma land/nyamwezi land
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,991 Reaction score 5,234 Sep 13, 2012 #22 Zamaulid said: angalau huyu ana hata hiyo baiskeli!!!!!!!!!! Click to expand... Ningeshangaa kama kuna ambaye hakuliona hili,ukiongelea maendeleo ya vijijini huyu ni mmoja kati ya wanawake walioendelea kwani kuna ambao wako hoi zaidi ya huyu........Safari bado ni ndefu....
Zamaulid said: angalau huyu ana hata hiyo baiskeli!!!!!!!!!! Click to expand... Ningeshangaa kama kuna ambaye hakuliona hili,ukiongelea maendeleo ya vijijini huyu ni mmoja kati ya wanawake walioendelea kwani kuna ambao wako hoi zaidi ya huyu........Safari bado ni ndefu....