Usiwe lege lege ndugu mwanamke hata akiwa wa bluu ni wale wale tuu inategemeana na mategemeo yako kwake wakati unaenda kuishi na huyo mwanamke huenda ulihisi unaenda peponi! hata ukioa wa kijijini kwenu usumbufu wa mwanamke ni ule ule tu cha muhimu ni kusimama kidete kama mwanaume!
Dah kumbe wanawake ni "wasumbufu" mkuu! Aisee