Maisha ya mapenzi nchi za watu ni magumu

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
733
Reaction score
570
Hali ya kuishi na mpenzi toka nchi tofauti ukiwa uko nchi za nje alafu mna kuja kuachana ni kitu ambacho kina watesa vijana wengi ...haswa pale ina pokuja swala kwamba wenzetu wazungu maisha ya africa hawa wezi....wadaui mna semaje kusu hilo
 
Vipi mkuu yamekukuta? Umemiminwa na kukumwagwa na demu wa nchi gani?
 
Pande za finland demu kagoma kuja kufanya maisha bongo
 
Sasa si utafute hata demu wa kicongo huko, warundi etc etc
 
Nenda afghanistan au iraq huko kajibebee mke,huko wanawake wamekata tamaa ya maisha so ukimuahdi kumcare vizur hatakataa kuja bongoland.
 
Unachosema ni kweli tupu, kikubwa kinachosumbua ni tamaduni mbili tofauti mnapokutana
 
Nenda afghanistan au iraq huko kajibebee mke,huko wanawake wamekata tamaa ya maisha so ukimuahdi kumcare vizur hatakataa kuja bongoland.

Tena huko kuna watoto wa kali balaa na kutokana na hali ya kule yupo radhi kwenda kuishi popote
 
Tatizo kubwa linakuja kuhusu watoto hapo ndio mtihani bibi yao ushamwambia ana wajukuu then unarudi mikono mitupu!
 
Ndiyo sababu wake kwa waume wa kibongo nchi za nje hupenda kuoa/kuolewa na Wabongo zao. Ukimuoa wa Taifa nyingine akikupikia ugali utamwambia huu si mtamu kama wa Bongo, ukimwambia akutengezee mahanjumati hajui, ukimleta dagaa akutengenezee hajui hata aanzie wapi! Ukimwambia leo nina hamu ya kula pilau atakutengenezea pilau la kikwao utajionea shida hata kutafuna mdomoni. Ni karaha tupu!

Last edited by a moderator:
Nenda afghanistan au iraq huko kajibebee mke,huko wanawake wamekata tamaa ya maisha so ukimuahdi kumcare vizur hatakataa kuja bongoland.
nani alikudanganya hao wanawake wanaolewa na wanaume wa mataifa tofauti wee thubutu. Wana mila kali sana na niwabaguz kuliko wazungu. Muafrika ni rahis kuoa mzungu Lakin mwanamke wa middle east ama Somalia au ethiopia am a huko central asia thubutu ni mabaguz hata ukiwa muislam. Eti hata kuongozana naye kitaa tu noma.

Kunasiku niliongozona na binti wakisomali bergen eti wasomali wenzake wakamaindi et kwanin unaurafik na muafrika na huku huyu msomali kaish Dar na kiswahil anakifaham. Eti wasomali wanatuita sisi Africans et hao ni waarab. Kuna vtuko dunian
 
Ndiyo sababu wake kwa waume wa kibongo nchi za nje hupenda kuoa/kuolewa na Wabongo zao. Ukimuoa wa Taifa nyingine akikupikia ugali utamwambia huu si mtamu kama wa Bongo, ukimwambia akutengezee mahanjumati hajui, ukimleta dagaa akutengenezee hajui hata aanzie wapi! Ukimwambia leo nina hamu ya kula pilau atakutengenezea pilau la kikwao utajionea shida hata kutafuna mdomoni. Ni karaha tupu!

Kaka ni bora usioe tu kuliko kumuoa mbongo mwenzako ukaish naye mamton utaona kila rangi. Waulize wote walioleta wake zao mton ni kulia tu. Watakuwa wazur miez sita ya mwanzo. Baada ya hapo utaona kila rangi. Ni bora kuwa single na kuchapa nje nje ama punYeto. Wanaume waliorudi bongo na kuoa na kuleta wake mtoni ni kulia na kulipiza kisasi maamee. Cheseya demu wa kibongo akishajua haki zake mtoni humfanyi kitu maamee. Halaf itokee anafukuziwa na mibaba ya kizungu. KakA Wanaume wanalia sana huku ohoooo
 
Last edited by a moderator:
Wabongo kibao nawajua wake kwa waume ambao wameoa au kuolewa na Wabongo wenzao na ndoa zao ziko bomba. Huwa siandiki bila ya kuwa na uthibitisho. Ziko baadhi zinatetereka lakini ni asilimia ndogo sana.

Kaka ni bora usioe tu kuliko kumuoa mbongo mwenzako ukaish naye mamton utaona kila rangi. Waulize wote walioleta wake zao mton ni kulia tu. Watakuwa wazur miez sita ya mwanzo. Baada ya hapo utaona kila rangi. Ni bora kuwa single na kuchapa nje nje ama punYeto. Wanaume waliorudi bongo na kuoa na kuleta wake mtoni ni kulia na kulipiza kisasi maamee. Cheseya demu wa kibongo akishajua haki zake mtoni humfanyi kitu maamee. Halaf itokee anafukuziwa na mibaba ya kizungu. KakA Wanaume wanalia sana huku ohoooo
 
Hali ya kuishi na mpenzi toka nchi tofauti ukiwa uko nchi za nje alafu mna kuja kuachana ni kitu ambacho kina watesa vijana wengi ...haswa pale ina pokuja swala kwamba wenzetu wazungu maisha ya africa hawa wezi....wadaui mna semaje kusu hilo
Usiwe lege lege ndugu mwanamke hata akiwa wa bluu ni wale wale tuu inategemeana na mategemeo yako kwake wakati unaenda kuishi na huyo mwanamke huenda ulihisi unaenda peponi! hata ukioa wa kijijini kwenu usumbufu wa mwanamke ni ule ule tu cha muhimu ni kusimama kidete kama mwanaume!
 
Back
Top Bottom