Mahali Kilipo Chuo Cha Marian na Maisha yakoje!?Anayejua anipe taarifa maana kuna dogo kachaguliwa hapo,,,na vip kuhusu upatikanaji wa nyumba za kupanga ukoje? karibuni wadau
Hiki kiko Bwagamoyo bila shakaMahali Kilipo Chuo Cha Marian na Maisha yakoje!?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nyumba ya kupanga unaweza ukapata kuanzia shilling ngapi mkuu???Mahali Kilipo Chuo Cha Marian na Maisha yakoje!?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Me ni mhitimu pale
Vyumba na hostel vinapatikana kwa urahisi sana na kwa bei nafuu
Vyumba inategemeana na budget yako kuanzia f40 unapata Chumba safi na kuendeleaNimekupata mkuu!! vip kuhusu nyumba za kupanga znapatikana kwa kuanzia gharama gan kwa mwezi??
Chumba 30k unapata kizuri kabisa. Ukitaka cha kibabe self 50k per month.Nimekupata mkuu!! vip kuhusu nyumba za kupanga znapatikana kwa kuanzia gharama gan kwa mwezi??
Anayejua anipe taarifa maana kuna dogo kachaguliwa hapo, na vip kuhusu upatikanaji wa nyumba za kupanga ukoje?
Karibuni wadau
Kwa mujibu wa hizo quotes mbili, ..Vip kuhusu upatikanaji wa nyumba za kupanga mkuu znapatkana kwa bei gani!?? maana nategemea kuja na wife huko so hostel za chuo haznihusu mkuu wangu
Mara dogo kachaguliwa,mara tena unakuja na wife..which is which sir?Vip kuhusu upatikanaji wa nyumba za kupanga mkuu znapatkana kwa bei gani!?? maana nategemea kuja na wife huko so hostel za chuo haznihusu mkuu wangu
mbabaishaji tu huyo anaongea kitu cha uongo baadae anasahauMara dogo kachaguliwa,mara tena unakuja na wife..which is which sir?
kuwa serious kwenye mambo ya maana usaidiwe shubamit weweHicho chumba cha elfu 30 kwa mwez unaweza ukakaa na mke wako?????
Mtu mpaka ana mke..anashindwaje kutafuta mwenyewe taarifa za chuo chake mpaka wewe uje umsaidie?Dogo anataka kuja na mke wake!! samahan kwa kuwachanganya jamani!