Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
Maboya mko wengiRejea kichwa Cha Uzi .
Kujifanya wewe mpambanaji kupambania watu wasiojitambua ni kazi ya kiboya.
Wewe Kaa na familia tulia kula ugali dagaa maisha yaendelee .
Wewe si ulikuwa unamsifia, sasa vipi tena?πRejea kichwa Cha Uzi .
Kujifanya wewe mpambanaji kupambania watu wasiojitambua ni kazi ya kiboya.
Wewe Kaa na familia tulia kula ugali dagaa maisha yaendelee .
Safi sanaRejea kichwa Cha Uzi .
Kujifanya wewe mpambanaji kupambania watu wasiojitambua ni kazi ya kiboya.
Wewe Kaa na familia tulia kula ugali dagaa maisha yaendelee
Naunga mkono hoja yako 100%.Rejea kichwa Cha Uzi .
Kujifanya wewe mpambanaji kupambania watu wasiojitambua ni kazi ya kiboya.
Wewe Kaa na familia tulia kula ugali dagaa maisha yaendelee .
Hawa kenge hawawezi kujua. Wanadhani kila mtu ameumbwa na roho ya ubinafsi.Kuna watu wameumbwa kuwa Ma Che Guevara, siyo wanajifanya, ndiyo real wako hivyo.
Tarehe 29 mtaishia kuandamana humuhumu mitandaoni!Unaludisha nyuma taifa, inatupasa na wewe tukurukishe kichurachura tarehe 29, Ambafu zako weye unadamu ya ccm kabisa halafu unaleta ujuaji...
πππππππHawa nyumbu ukijidai unawasemea utawaona mtandaoni wanakujazia comments na likes, subiri ukibananishwa uone kama utaona hata mmoja wote wanakimbia alafu wanaanza kukuchungulia kwa mbali huku zinaulizana unafanywa nini, hizi Nyumbu siyo za kuzisemea acha zile rungu hadi zichakae siku kipigo kikikolea zitatoa pembe zijitete zenyewe
Halafu we mayai akili zako zipo tumboni siyo kichwani kabisa, umeshiba makande mabichi nyumbani kwenu unakuja unapayuka hovyo tu hapa, sisi ndo tumesha sema tarehe 29 kinaumana, waje na bunduki waje na malungu tutawafunza adabu mwaka huu alaaa.Tarehe 29 mtaishia kuandamana humuhumu mitandaoni!
Hakuna mtu atakaetoka barabarani kuandamana.
Rais na Amiri jeshi mkuu ameishasema kwamba vyombo vya ulinzi na usalama ambavyo vipo chini yake vimeishamhakikishia kuwa vimejiandaa kuhakikisha uchaguzi unafanyika katika mazingira ya amani!
Hakutakuwa na NYWINYWI wala NYWINYWINYWI!.
Kwa hiyo unawatisha watanganyika kuw wasipiganie haki yaoRejea kichwa Cha Uzi .
Kujifanya wewe mpambanaji kupambania watu wasiojitambua ni kazi ya kiboya.
Wewe Kaa na familia tulia kula ugali dagaa maisha yaendelee .