muneera75
Senior Member
- Oct 12, 2019
- 190
- 318
Hi
As thread said maisha ambayo fake life is so expensive kama kuna mtu anayaishi aachane nayo. Mpaka nimekuja kusema hiki kitu it means nina experience kwamba nishamuona mtu ana struggle kuishi yale maisha ya masupa staa na rich kid (wakishua) akati maisha ake ni ya kawaida sio mabaya sana anakula vizuri kwao analala pazuri ila kuna ile hali ambayo anapenda watu wamuone mtoto wa kishua🤣
Siwezi mtaja but i know herfor a long time huyo mdada (neighbour) since tupo secondary . Kwa mfano anaweza anaweza akadanga ili apate simu kama ya msanii fulani mara ya mwisho nikimuona na iphone 10 (x) baadae nikasikia kanunua kuna kikava fulani hivi kariakoo wanauza 20k kabandika nyuma ya ile iphone x ili ile simu ionekane iphone 11 (macho matatu). Kwahiyo she is trying to prove watu kwamba kuna ile life anaishi ya watoto wa kishua
Mimi binafsi nikipata chance ya kukaa naye close ntajaribu kumwambia but now sijapata mda and kuna mda ninaogopa kumwambia coz she is so talkative (wale wachambaji anaweza akakuchamba na akakujazia watu)
My advice kwa yoyote ambaye ana ndugu jamaa au rafiki anaishi maisha sio yake basi jaribu kumpa ushauri.
Wewe uliwahi kukutana na mtu anae fake life kwa namna gani?