kawaibia jamaaHiyo nembo ya intex wanatengeneza na vifaa vya electronics... sijui kalitoa stoo hilo godoro...
Hahhahaa lazima ulikuta na case hii..araf madem wa insta wote wazuri dah ka mademu wa harusini
usiombe ukutane nao live utamkimbia
ishukuriwe hii mitandao maana ninanufaika bayo mnooooo...........siki mbili huzi nimepata madem wawili facebook na wote nitawagegeda soon maana nshakutana nao wote na kweli ni wazuri,,,,,,thank u facebookTunaweza kusema ni maisha ya picha yaani maisha ambayo hayana uhalisia wowote.Kukua kwa tasnia ya habari na mawasiliano hususani kwenye upande wa mitandao ya kijamii kimesababisha kubadili mfumo wetu wa maisha aidha kwa kurahisisha upatikanaji habari au kwa kusababisha mfumo wetu wa maisha kubadilika na kutawaliwa na 'sanaa' zaidi.
Leo hii watu wanatumia mtandao kama Instagram kutengeneza mfumo wa maisha wa 'uongo' kabisa hali inayopelekea vijana wengine hususani ambao ni teenagers kuathirika kisaikolojia au kuvutiwa na mfumo huo wa maisha.
Sifa za kijingaaaaaakwa hiyo hizo pombe za sherehe jamaa alinunua mwenyewe kumba hana hata kitanda .. jamani namwonea huruma sana
Na usisahau kinga mkuu UWAFANYE VIZURI.ishukuriwe hii mitandao maana ninanufaika bayo mnooooo...........siki mbili huzi nimepata madem wawili facebook na wote nitawagegeda soon maana nshakutana nao wote na kweli ni wazuri,,,,,,thank u facebook