Hii sio utani, kama kuna mtu mke wake ameenda kujiendeleza kielimu baada ya kufanya kazi, huko chuo anapigwa miti, hata wanaume ambao wameoa wameacha wake zao mikoani wamekuja kusoma chuo, huku chuo wameopoa vitoto vidogo vya 2000 wanavipiga miti, ninaongea hivi ninashuhudia hivi vitu kwa classmates zangu, nipo chuo mwaka wa pili